Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,137
kwani ni lazima atoe huduma?
Atatoa kwa watakaoenda kwake.
Kama hutaki usiende huko.
Btw. Kuna haja ya kufanya dharura kuweka mazingira safi na salama kwa wahitaji wa huduma hiyo.
Kama ni ushirikina au la nadhani wanopata tiba hiyo na kupona hawatakuelewa, kwao kupona ni muhimu zaidi.
nakubaliaana na wewe, mgeni njoo mwenyeji apone, watengeneze basi,si wameona miundombinu ilivyo mibovu, kama walikuwa hawajui, sasa wanajuaDawa zake hazitakiwi kuhamishwa katika eneo lake!Waimalishe infrastructure huko huko!
nakubaliaana na wewe, mgeni njoo mwenyeji apone, watengeneze basi,si wameona miundombinu ilivyo mibovu, kama walikuwa hawajui, sasa wanajua
Asante kwa dawa babu!!!
SIMWAMINI HUYO BABU HATA KIDOGO.Inawezekana akawa anapiga janja ya shehe YAHYA
Yaani hapa sio kwanini babu analaumiwa labda serikali iweke mfumo wa watu kupanga foleni,maana babu anajitahidi kusaidia watu ila tatizo la watz hatupendi foleni tumezoea vitu vya fasta.Mkuu ona hii thread! https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/115561-apoteza-maisha-akisubiri-tiba-loliondo.html
Apoteza maisha akisubiri tiba loliondo.
Kuna taarifa kuwa mgonjwa mmoja mwenye asili ya ki-asia amepoteza maisha baada ya kuzidiwa kwenye foleni ya kusubiri tiba ya mchungaji wa loliondo.
Inasemekana viongozi wa kiserikali na matajiri wakubwa wanatumia nyadhifa zao 'kuchakachua' na kuwaacha walalahoi wakisubiri foleni.
USHAURI:Chonde chonde wagonjwa mnaoenda huko chukueni dawa zenu za kawaida kwani huduma inachelewa sana.