Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Nipitie twende wote nikatibiwe maradhi yangu....natafuta kampani tu hapa.....!!!
 
sasa kama kinachoponya ni imani , kwa nini watu waende kwa huyo mtu,? afu cjaelewa mpk leo huyu mtu ni mganga au mchungaji?

Mkuu niwaellyester jibu ntakupa laikini kabla sjakupa nkuulize swali...Kibwetere alikuwa mganga mchungaji??? n jibu kwandha thwali langu
 
Juzi hapa kuna wana JF walienda huko sasa wamefikia wapi kuhusu hayo mambo maana hapa tunataka more pics na habari zaidi maana so far habari ni zile zile....tupeni more news guys.....
picha hizo wameshaweka jamaa fulani
 

Attachments

  • magari wakinywa dawa.jpg
    272.3 KB · Views: 33
  • PICHA MAGARI.JPG
    228.5 KB · Views: 28
  • GARI LA MANISPAA NDANI YA MCHUNGAJI.JPG
    204.7 KB · Views: 27

Na hakuna hata atakaye jitokeza kujaribu kusaidia ... Kama hawatasukumwa!!!
 
Mkuu niwaellyester jibu ntakupa laikini kabla sjakupa nkuulize swali...Kibwetere alikuwa mganga mchungaji??? n jibu kwandha thwali langu

Ina maana mkuu wangu Moshdar hawa wanaosema wamepona wanatutapeli?
But am not suppose to argue with you coz, Imani yangu na yako ni tofauti.
mimi na amini katika uponyaji wa bwana Yesu. wewe humwamini Yesu. wapi na wapi?.
Naomba nikujulishe kwamba damu ya yesu inaponya.
 
nimeambiwa ukipona unapaswa kutoa sadaka pale unapoabudu ie. Umrudie Mungu wako umjuae.
 

Story yako umeitoa mwenyewe lakini inakosa scientific evidence ya matukio hayo ili iweze kujadiliwa kisayansi. Pamoja na hayo mapungufu ya msingi story kama hizi zinaweza kuwa ni isolated cases. Na hizi ziko katika science. Effectiveness au decisions katika tiba huwa zinabase on mean values. Sio kila tiba au medical responce inakuwa sawa kwa kila subject. Kwa hiyo ikiwa wewe ulirespond tofauti na wataalam walivyotazamia hiyo sio ajabu. Ila ikiwa subjects wengi zaidi watarespond kama wewe then hiyo medical decision inafanyiwa review. Hii bado inabaki scientific. Ila hatuwezi kuamini kuwa kwa kuwa wewe ulifanikiwa kujifungua bila C/S basi subjects kama wewe nao waruhusiwe ki hivyo kwa njia ya imani. Hapa ndiko tunapotofautiana.
 
Daaa pics hizo nimeziona kwa michuzi nikasema wacha niziweke na hapa labda kuna wengine huwa hawapendi kuingia huko...........
 
Awataka wakazi wa Loliondo, Simanjiro, Mto wa Mbu, Mererani na Arusha yote kufurika kwa wingi siku ya Alhamis hii, atakapotia timu kutoa uponyaji. Atumia mda mwingi kutaja na kurudia rudia namba zake lukuki za simu.
 
Sielewi atakuwa na hali gani rafiki yangu huyu!
 
Babu uzuri wa bei yake ndio unaonesha wazi kwamba ametumwa na mungu, sio huyu msanii ndodi eti dozi ya minyoo sh laki nne, mbwa kabisa huyu.
 
Hii inaonyesha wazi jinsi watanzania wengi masikini kwa matajiri tulivyo na afya dhaifu.Tunangoja kufa tu serikali yetu imeisahau sekta ya afya tupotupo tu kwa kudra za mwenyezi mungu.Hatuna tamaduni ya kupima afya zetu pia ni ghali mno kuweza mudu vipimo vyote mihimu.Lkn jambo jingine muhimu ni vyakula tulavyo ambavyo ni chanzo pia cha baadhi ya magonjwa.Michele ya hovyo,kuku wa kisasa,mboga za msimbazi kwa utaratibu huu tutaenda fia ktk foleni kwa babu loliondo.
 
Kama ni suala la kiroho sijui kama vipimo vitasaidia.
 

mkuu Mlachake tuwauklize wale ndugu zetu sabato masalia waliotuambia-ga watapaa kuelekea ughaibuni bila document yoyote!!!! naskia walikuwa wanamtaja mtu mmoja wanamwita yesu kuwa ndiye wanaenda kwa nguvu zake wala hawahitaji hata passoprt wala tikit.

naona na wewee unasema unamwamini huyu yesu, sawa kaka hamna shida amini tu unachotaka mradi usiwabugudhi wenzako kwa imani yako wala usilazimishe kila mtu aamini unachoamini wewe. mimi mbudha (naskia hata wahindu) hawaamini huyo yesu wako. naskia waislamu wao wanamwamini Allah na mtume Mohamed na marastafar wanamwamini Jah never die. kila mtu na imani yake mkuu, tatizo linakukuja pale unapotaka kutumia imani yako kuwadanganya watu waseme "majiiii" ili eti risasi ya jerumani isiingie na badala yake igeuke kuwa maji
 
Kwa vile ni la imani halina uhusiano na vipimo vya kisayansi kabisa!!Swala ni kwamba watu wanapona kupitia imani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…