Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Kaka yangu, wala sija wahi fika huko Natron wacha Loliondo. Ni kuwa boss wangu ameenda huko juzi alfajiri na bado hajarudi mpaka leo. Ndiyo maana nimeona niku taarifu. Kuhusu Jumapili ni jinsi nilivyo sikia kutoka kwa watu wengi walio fika.

Du...hiyo kali !
Tutabeba kila kiwezekanacho:A S 13::A S 13:

Kwa hali yoyote tuko tayari kupiga kambi huko kwa muda wowote..
Ulienda nini Loner?
Mbona hukutujulisha?
 
Kuna tetesi za kupatikana kwa dawa ya ukimwi huko loliondo. Watu wanakimbilia huko kwa wingi. Huwezi amini wilayani Hai bodaboda zinakodishwa kwa bei yoyote ile.

My take:
Ain't this some good news?
 
JK ofa hii itampita manake yupo safarini kila siku wakati afya mgogoro.
 
Kuna tetesi za kupatikana kwa dawa ya ukimwi huko loliondo. Watu wanakimbilia huko kwa wingi. Huwezi amini wilayani Hai bodaboda zinakodishwa kwa bei yoyote ile.

My take:
Ain't this some good news?

Habari mchanganyiko
 
Du kweli si mchezo nimesikia hii ushu inatangazwa leo redio uhuru kutoka magazetini inawezekana ikawa kweli:hand::hand:
 
Kuna tetesi za kupatikana kwa dawa ya ukimwi huko loliondo. Watu wanakimbilia huko kwa wingi. Huwezi amini wilayani Hai bodaboda zinakodishwa kwa bei yoyote ile.

My take:
Ain't this some good news?

Sada boda boda zitafika Loliondo?
 
Labda hatawaruhusu mpige picha kama Al Adawi!Msiache kutujuza lakini....kukiwa na ushuhuda unaoeleweka labda na wengine tutajitahidi tuende!
 
jamani aste aste, huyu babu antumia mizimu ya babu zake au ya nani .maana nimesikia alioteshwa ndoto usingizini,akaonyeshwa mti wa kutumia kutibu magonjwa.mjihadhari hizo roho zisije zikawavaeni halafu mshindwe kutoka mi simo!
 
PM zimeanza kuflow kwa kasi...

Nina mashaka huenda tukalazimika kutafuta Long-base ya pili!...how good!
SaharaVoice, kaa mkao wa kuongea tena na huyo jamaa!

Utanitaarifu ili nifanye mipango mapema, isizidi saa nane wawe wame confirm
 
I sometimes dont understand these things:
1. Ameoteshwa na Mungu
2.Lazima akuone ndio upone
3.Dawa ni 500 tu.
Hivi Mungu anabagua? yule bibi kizee pale mtwara ana kansa halafu nauli ya kwenda kule hana si utakufa na hiyo kansa!
Ina maana hii ni tiba kwa wenye uwezo wa hiyo 70,000 ya usafiri tu.
kwanini anacharge 500, dawa ambayo angeweza charge 100,000,000,000,000..... na akapata wateja?
Siwezi chemsha hiyo mizizi mwenyewe nikanywa nikapona?

Vitu vingine ndugu yangu vimekaa kiimani zaidi usitake kuhoji kisansi kwa hiyo kama unaamini nenda na kama huamini baki. Sana sana ungehoji kwanini asitibu bure kabisa maana kaoteshwa na Mungu.
 
HTML:
jamani aste aste, huyu babu antumia mizimu ya babu zake au ya nani .maana nimesikia alioteshwa ndoto usingizini,akaonyeshwa mti wa kutumia kutibu magonjwa.mjihadhari hizo roho zisije zikawavaeni halafu mshindwe kutoka mi simo!

Si lazima uamini, lakini hatumii mizimu ya babu zake bali anatumia Nguvu za Mungu.
 
jamani aste aste, huyu babu antumia mizimu ya babu zake au ya nani .maana nimesikia alioteshwa ndoto usingizini,akaonyeshwa mti wa kutumia kutibu magonjwa.mjihadhari hizo roho zisije zikawavaeni halafu mshindwe kutoka mi simo!
Hata enzi za Nuhu kulikuwa na wabishi kama wewe...ikala kwao!

We don't look back No way!
 
Safari njema.. mtujuze mtakayokuta huko kama ni ya kweli au ni uzush!!
Msisahau kupiga na picha za kutosha!
 
Ndg wanaJF kutokana na hali iliyopo nchini kwa sasa kwa watu kwenda loliondo kwa mchungaji kujipatia matibabu ya magonjwa sugu km Kisukari, kansa, pumu, degedege na HIV/AIDs nashauri serikali ijenge barabara hiyo kwa kiwango cha lami haraka iwezekanavyo ili kupunguza adha ya usairi iliyopo kwa sasa.
Magari ya serikali yanaongozana kwenda loliondo kwa ajili ya nguvu kazi yake kupata tiba.
Ikiwezana wakandarasi wapewe km 2 kila mmoja ili kuharakisha kukamilika kwa barabara hiyo kwa muda mfupi iwezekanavyo.
Nauli ni juu ukilinganisha na umbali wenyewe kutokana na ubovu wa barabara.
wasafiri wanalazimika kulipa kati ya tshs 40,000 hadi 100,000 kama nauli.
Nawakilisha ili tuweze kupata mawazo mengine kutoka kwa great thinkers (wanaJF)!!!

Kwanini magari mengi ya serikali. Ina maana ina majeruhi wengi?
 
Kila lakheri ila kama nijuavyo Mchungaji hafanyi kazi J2 kweli. Niko Ars lakini ratiba iko tighty ningeungana nanyi.




Leo usiku , crew ya Jamiiforums, Arusha-Wing INATARAJIWA KUONDOKA KWENDA LOLIONDO, ambapo pamoja na kuleta habari kwa marefu na mapana,zikiambatanishwa na picha, pia TUTAKUNYWA DAWA HIYO, kuondoa magonjwa yote ya KURITHI miilini...

Watakaokuwa tayari, gari itaondoka saa 6.00kamili USIKU, na bei ni 70,000.
Kuna Toyota Landcruiser Long-base ya ukweli!
Wasilisha maombi yako fasta.
Nitumie PM tuingie kwenye serious business!
 
kutibu ukimwi

Thursday, 03 March 2011

Daniel Mjema, Moshi

KWA takribani wiki moja sasa, mji wa Moshi na vitongoji vyake, umekuwa ukizizima kufuatia taarifa za kuwapo kwa mchungaji mstaafu anayetoa dawa zinazotibu magonjwa makuu manne ukiwamo ukimwi, kwa gharama za Sh500 tu.

Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa makundi ya watu wakiwamo Watanzania wenye asili ya kiasia, yamekuwa yakisafiri kwenda Loliondo, ili kupata tiba kutoka kwa mchungaji huyo.

Habari zilizozagaa katika mji wa Moshi na vitongoji, zinadai kuwa mchungaji huyo amekuwa akitibu magonjwa ya kisukari, ukimwi, shinikizo la damu na ugonjwa wa saratani.


Juzi mchana, nusu ya abiria waliokuwa katika basi moja la abiria lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Arusha, walikuwa ni wale waliokuwa wakienda Loliondo lakini wakipanga kuanzia safari zao Arusha.

Wakili mmoja wa kujitegemea ambaye alikuwa ndani ya basi hilo, akitokea Moshi kwenda Arusha, aliliambia Mwananchi kuwa nusu ya abiria hao, walikuwa wanaelekea Loliondo.

Magari yanayokwenda eneo anakopatikana mchungaji huyo ni yale yenye nguvu (4WD) na nauli ya kwenda na kurudi kutoka Moshi ni kati ya Sh70,000 na Sh80,000 ingawa wenye uwezo wamekuwa wakitozwa hadi Sh100,000.

Dereva mmoja Haji Sadiki, juzi usiku alionekana akiondoka na kundi la watu nane kuelekea Loliondo na inadaiwa kuwa kila mmoja alilipa Sh70,000 kwa ajili ya nauli ya kwenda na kurudi.

Mkazi mmoja wa Mwanga, Rodgers Msangi, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM aliitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kutoa tamko kuhusu uhakika wa tiba inayotolewa na mchungaji huyo.

"Watu wanasema unapewa dawa kwenye kikombe kimoja cha chai na hata kama una ngoma (ukimwi) unapona na wala hataki pesa yako zaidi ya Sh500 tu. Watu makundi kwa makundi wanakwenda huko kila siku," alidai Msangi.

Habari zilizozagaa mkoani Kilimanjaro zinadai kuwa hata baadhi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini,wabunge na viongozi wastaafu wamekwishakwenda na kupewa dawa hiyo, ingawa hakuna uthibitisho wa kimaabara unaothibitisha nguvu ya dawa hiyo.

Tangu kuzagaa kwa taarifa ya mchungaji huyo, watu wamekuwa wakikusanyika katika vikundi kujadili suala hilo.
 
Mkuu mkirejea mtujuvye sasa naona Tanzania nzima na East Afrika itapiga kambi hapo Loliondo. Km ni kweli, basi Mungu anamaajabu makubwa.

Nadhani hata wamarekani watakuja, na bei ya 500 kwa dozi ukizidisha mara watu milioni moja 500X1,000,000= 500,000,000 milioni mia tano km sijakosea si haba.

mungu amlinde huyu mtu wasije wakamfanyia mizengwe watu wabaya.

TRA nao wasisahau wajibu wao 500,000,000 X 30% = 150,000,000
 
Back
Top Bottom