Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

serikali ingekuwa inawajali watu wake tayari wangeshafwatilia na kuchunguza na kuona wapi wangeweza kumsapoti na kuiboresha kwa manufaa ya umma badala yake watakuja wajanja wanaothamini ugunduzi wa watu wakamtaifisha kesho wanatangaza dawa ya ukimwi imepatikana china
 
Kweli Serikali hawako serious, wangefuatilia na kutoa tamko. Chqa kushangaza zaidi hata baadhi ya uongozi wa juu wa nchi wamekwenda pia kutibiwa huko kimya kimya
 
matibabu anatoa kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi; kama umati ni mkumbwa watamchosha mzee wa watu.

Nadhani mafisadi wanamtamani sana saa hii; nafikiri hadanganyiki wangesha mpora hati miliki.
 
Umempa Yesu maisha baada ya huo muujiza? His concern is the salvation of your spirit hayo mengine ni incentive tu za kukupa mbegu ya Imani ila kuzaa kwa mbegu itategemea imepandwa kwenye udongo gani, some zinaangukaga njiani ndege wanaokota hao ndege nimewaona wengi hapa JF wakisha iokota utaona kidogo kidogo ile value ya huo ushuhuda inapungua as days proceed, wakati mwingine inaangukaga kwenye miiba utaanza visingizio ooh leo sitaki kusikiliza mahubiri maana ninakazi nyingi na ile ari na viapo ulivyovitoa kwa furaha ya kuona mkeo amepona inaanza ku fade away taratibu....So if you continue with your humble heart ya kusikiliza wenye habari njema zaidi ya huo mchungaji kuna package mbali mbali zaidi ya healing miracle utaendelea kupokea na ukifungua huko ndani utakuta peace, financial break through, opportunities, right people to take you to your destiny earlier than you could imagine etc ndiyo hapo inapoanguka kwenye udongo mzuri moja huzaa mia, nyingine sitini na nyingine thelathini. Cha msingi ni kuwa huyo mkeo hajapokea uponyaji wake tu kama kweli huyo ni mtumishi wa Mungu lakini pia na anointing ya kutibu wengine wenye shida kama yake so aanze kutumia hiyo karama ili kuichochea kila anapokutana na mwenye hitaji ndiyo maana Yesu akasema kama baba alivyonituma nami pia ninawatuma kupeleka hii habari njema kwa mataifa ili nao wapate kupona....

I hope umenipata na ubarikiwe sana.

Felister! Yesu ni kila kitu kwangu na kwa familia yangu. Mimi naamini na familia pia maombi ya rohoni zaidi kuliko wapayukao! Roho husema kweli zaidi kuliko mdomo. Ni wachache sana wanayoyaongea yanakuwa yanatoka katika roho ya kweli. Wengi wao ni wasanii. Roho wa kweli humwomba baba yake yaliyo ya kweli. Tunashuhudia kila uchao kuna wanaojiita mitume! wanawachanganya sana waumini wao nao kwa kupiga makelele mengi huwafanya wote wenye shida kuamini kila wasemacho mwisho hujikuta wako wenyewe.
Iaminike kuwa kila mtu anayo imani yake, kwa diini yake basi na tuwape watu uhuru wa kuamini kile waaminicho ambacho lengo lake ni kumfikisha kwa muumba wake. Usitake kila mtu aamini kile wewe uaminicho ni sahihi, la hasha ila wewe onyesha kuwa huo ni muono wako na ni ushauri tu! Tufike mahali tuheshimu dini ya Felister hali kadhalika Musa au eeka mangi aheshimu uabudi wa Felister.
Nikutakie kila la kheri katika maisha yako ya kila siku.
 
matibabu anatoa kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi; kama umati ni mkumbwa watamchosha mzee wa watu.

Nadhani mafisadi wanamtamani sana saa hii; nafikiri hadanganyiki wangesha mpora hati miliki.

Kipindi cah nyuma alikuwa anatoa matibabu kuanzia saa 12 asubuhi hadi 12 jioni. Kwa sasa watu wameongezeka sana, jana jioni ilibidi afanye kazi mpaka usiku na hakumaliza. Watu wanawahi kwa sababu wanahisi kuwa kipindi cha kwaresma hatofanya kazi. Sina uhakika na hili ila kama ataendelea kutoa huduma basi tutawataarifu. Jana TBC waliweza kufanya naye mahojiano nilikuta ndio wanaondoka inawezekana wakarusha mahojiano hayo soon, so check na TBC.
 
Taarifa zisizo rasmi zinasema hata viongozi wetu wa ngazi za Juu wameoneana huko kwa Babu wakinywa dawa, wnafika Usiku kwa Helkopta na kuondoka. Tusubiri kama wamepona wataliweka bayana ili taifa lissiingie gharanma kubwa kutibwa magonjwa yasiyotibika na nafikiri watweka mindondo mbinu mizuri ili wote tuende.
 
Nimesikia hii habari. Sijui kama ni kweli au la! Time will tell
 
Felister! Yesu ni kila kitu kwangu na kwa familia yangu. Mimi naamini na familia pia maombi ya rohoni zaidi kuliko wapayukao! Roho husema kweli zaidi kuliko mdomo. Ni wachache sana wanayoyaongea yanakuwa yanatoka katika roho ya kweli. Wengi wao ni wasanii. Roho wa kweli humwomba baba yake yaliyo ya kweli. Tunashuhudia kila uchao kuna wanaojiita mitume! wanawachanganya sana waumini wao nao kwa kupiga makelele mengi huwafanya wote wenye shida kuamini kila wasemacho mwisho hujikuta wako wenyewe.
Iaminike kuwa kila mtu anayo imani yake, kwa diini yake basi na tuwape watu uhuru wa kuamini kile waaminicho ambacho lengo lake ni kumfikisha kwa muumba wake. Usitake kila mtu aamini kile wewe uaminicho ni sahihi, la hasha ila wewe onyesha kuwa huo ni muono wako na ni ushauri tu! Tufike mahali tuheshimu dini ya Felister hali kadhalika Musa au eeka mangi aheshimu uabudi wa Felister.
Nikutakie kila la kheri katika maisha yako ya kila siku.

Dear kwani kuna dini inayoitwa mpe Yesu maisha yako? Mbona hilo ni tendo ama umeshawahi sikia kuna dini kama hiyo? We mwenzangu unadini mimi sina dini wala si amini katika yoyote ile maana hakuna iliyowahi kunisaidia na wala haitakuwepo kwani nimapata kweli nayo imeniweka huru....Imani yangu ni kwa Yesu kwamba alikuja kwa jina linaitwa Imanuel yaani Mungu pamoja nasi alipokufa na kufufuka akapewa Jina jipya lipitalo yote yaani Yesu Kristo na kwamba yeye ndiyo njia kweli na uzima wengine wote ni matapeli na akanionya nikiwaamini laana yake inakuwa juu yangu. Akaniambia nakupa msaidiza yale yote niliyokufundisha na ambayo sijakufundisha atakueleza. Akanipa na alama ya utambuzi huyu msaidizi akija ndani yangu kwamba nitanena kwa luga ambayo pass word ninayo mm na yeye tu, nikiwekea mikono wagonjwa watapona na ikitokea nikanywa kitu chenye sumu bila kujua sinta pata madhara yeyote hiyo ni pamoja na mbu wakining'ata malaria inakufa ndani kwa ndani, damu yangu ikigusa UKIMWI bila kuvunja amri yake unatimua mbio kabla sijagundua kama umeingia mwili; kansa ikijaribu kuleta umbea inapigwa na radi...To be frank I am enjoying all these for the past seven years hata panadol sikumbuki ladha yake; mtoto wa mwisho nilijifungua kama mwanamke wa kiebrania bila labour pain manesi na madaktari waka panic kwa hofu, mchawi akinikaribia yeye mwenyewe anaanza kujieleza kabla ya mimi kuongea etc basi nikagundua kumbe wenye dini wanatutapeli tu, maana nimekaa kwenye dini for 28 years bado the devil was kicking me left and right like its toy. Dear you can enjoy heaven on earth kwa garama tu ya kuutafuta ukweli diligently with a humble heart that you listen to all and make your own experiments to proove if it works....
 
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kugundua mambo mawili muhimu hasa kwa jinsi anavyojieleza.
1.grandiose delusion-ile hali ya kujikweza ati yale majani lazima ayaombee yeye ili yaweze kukutibu.
2.hallucination-eti mungu alimuonyesha noti ya 500 na hivyo hii ndio bei ya matibabu.

Mwenye masikio na asikie,huyu mtu ni mgonjwa na anahitaji tiba haraka iwezekanavyo.
 
kwanza jina lako linanipa utata-maana lenyewe ni ugonjwa tayari
Pili huyu mr wa loliondo kwa sasa yupo juu-watu hawawez ambiwa kitu wakaelewa-tusubiri kwanza kama kutakuwa na udanganyifu anaofanya utajulikna tu-ngoja tufanye TRIAL&ERROR
 
jamani nchi hii ni kubwa acheni wale wanaofikiri kutumia dawa za mganga huyo watumie ili wasaidie ujenzi wa taifa hili!.mie naamini kuwa imani inauwezo mkubwa ikiwa watu wanaamini watapona basi tuwasikilizie. tusiibeze kazi ya mtu!
 
Inawezekana wewe ni yule niliekwambia hakuna mwanamke atakaye kukubali kutembea nje ya ndoa na kila uliye naye ambaye si mkeo atazua ugomvi muachane, kwa amri hii ni mpaka milele umechoka kukaa kwenye kifungo au hahaaaaaa! Kama ndiye aise siku hizi nakosa wakuchat naye hapa kwenye baridi..hamjambo huko? Wawekee huo ushuhuda basi nipate wateja wakuamini jina la Yesu......

Nimecheka sana,Nadhani inaweza kuwa ni mimi haha,hebu ni PM then tuongee vizuri nikupe kampani na hii baridi wala usijali,nahitaji kuombewa pia kwa kila kitu so nadhani utanisaidia au sio....
 
kwanza jina lako linanipa utata-maana lenyewe ni ugonjwa tayari
Pili huyu mr wa loliondo kwa sasa yupo juu-watu hawawez ambiwa kitu wakaelewa-tusubiri kwanza kama kutakuwa na udanganyifu anaofanya utajulikna tu-ngoja tufanye TRIAL&ERROR

mkuu huyu jamaa atasababisha watu waache dawa muhimu za haya magonjwa sugu wakiamini mauzauza ya huyu mganga.hii itapelekea watu kuharibu mwenendo wa tiba zao za kawaida.
 
dawa gani hiyo inayotibu kisukari,ukimwi,b.p kwa pamoja
haya magonjwa ni tofauti sana na visababishi vyake ni tofauti, kamwe haiwezi kutibu yote haya.

imani. Na si ajabu na ni kweli. Kama huamini waulize viongozi wako wa juu serikalini akiwemo pm na presdaa.
 
mie naamini kuwa imani inauwezo mkubwa ikiwa watu wanaamini watapona basi tuwasikilizie. tusiibeze kazi ya mtu!
mimi naibeza kazi yake!kama amegundua dawa afuate taratibu,aende muhimbili kuna kitengo cha traditional medicine aeleze jinsi inavyofanya kazi,dose,inaingiaje na kutokaje mwilini,madhara yake(side effects),inaingiliana vipi na dawa nyingine(interaction with other drugs),inatumikaje kwa makundi maalum mfano watoto,wazee au wajawazito.
Imefanyiwa majaribio lini,wapi na kwa nani?haya ni baadhi ya maswali ambayo anatakiwa kuyatolea ufafanuzi.bila kujibu maswali haya halafu unaibuka from nowhere na kujidai unatibu!huu ni ukichaa wa aina fulani.naomba apate huduma ya psychiatry haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom