Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Ukweli ni kwamba anatoa dawa na imani ya wenye taabu wanapona!hakika Mungu anaipenda Tanzania sana mnaobeza wote ni CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hajawaita, lakini waliotibiwa awali ndio wanaowapeleka ndugu zao huko ili nao wakapate uponyaji. Kama madaktari hospitalin wameshindwa kutibu watu wanajaribu tiba nyingine. waziri wa afya jana kasema watu waende wakatibiwe, yawezekana hata yeye alishaenda huko. TBC1 wameripoti kuwa watu 800 - 1000 wanafika kupata tiba kwa "Dr".
............. Mungu akasema;..... watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
......Sitawaacha mpotee.
...... niawaletea watu wakuwasaidie
.... Musa tengeneza nyoka wa shaba ili watu wakimuangalia wapone.
mimi naibeza kazi yake!kama amegundua dawa afuate taratibu,aende muhimbili kuna kitengo cha traditional medicine aeleze jinsi inavyofanya kazi,dose,inaingiaje na kutokaje mwilini,madhara yake(side effects),inaingiliana vipi na dawa nyingine(interaction with other drugs),inatumikaje kwa makundi maalum mfano watoto,wazee au wajawazito.
Imefanyiwa majaribio lini,wapi na kwa nani?haya ni baadhi ya maswali ambayo anatakiwa kuyatolea ufafanuzi.bila kujibu maswali haya halafu unaibuka from nowhere na kujidai unatibu!huu ni ukichaa wa aina fulani.naomba apate huduma ya psychiatry haraka iwezekanavyo.
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kugundua mambo mawili muhimu hasa kwa jinsi anavyojieleza.
1.grandiose delusion-ile hali ya kujikweza ati yale majani lazima ayaombee yeye ili yaweze kukutibu.
2.hallucination-eti mungu alimuonyesha noti ya 500 na hivyo hii ndio bei ya matibabu.
Mwenye masikio na asikie,huyu mtu ni mgonjwa na anahitaji tiba haraka iwezekanavyo.

Presidaa alisema anaenda kuangalia mabaki ya nyayo teh! kumbe katoka kunywa dawa kwa jiti 5
mkuu huyu jamaa atasababisha watu waache dawa muhimu za haya magonjwa sugu wakiamini mauzauza ya huyu mganga.hii itapelekea watu kuharibu mwenendo wa tiba zao za kawaida.
aseme tu amegundua hiyo dawa - lakini kama kweli ni Mungu mbona ina masharti hivyo???? hapokei zaidi ya shs. 500/ kama unataka kutoa sadaka ya kumshukuru anakataa - anasema katoe kanisani or msikitini - Hauwezi kutoka na hiyo dawa hapo - kumpelekea mgonjwa aliye mbali - lazima mgonjwa aende hapo
why??????????? hayo masharti amepewa na Mungu gani???
ni kweli nina watu amepona lakini - USIJE PONA MWILI UKAIUZA NAFSI YAKO KWA SHETANI- inatakiwa kuwa makini sana - kama nimekosea namba kusahihishwa!!!!!
mkuu nani aliyekuambia kuna mtu anapona ukimwi,presha,sukari au kansa?kama ni kweli wamepona basi waliopona(haswa viongozi) wafanyiwe uchunguzi wa kidaktari kuonyesha hivyo na majibu yawekwe hadharani.Hao ambao wamepona inawezekana nao nivichaa au ?
muarubaini haukuwahi kutibu sukari,ukimwi,kansa n.k sanasana ulitibu magonjwa ambukizi mfano malaria na kuarisha.
dawa gani hiyo inayotibu kisukari,ukimwi,B.P kwa pamoja
Haya magonjwa ni tofauti sana na visababishi vyake ni tofauti, kamwe haiwezi kutibu yote haya.
muulize jeikei maana amekwishaitumia kama unataka namba yake nibeepu nikupigie uongee nayeJe hiyo dawa inatibu kweli?
mimi naibeza kazi yake!kama amegundua dawa afuate taratibu,aende muhimbili kuna kitengo cha traditional medicine aeleze jinsi inavyofanya kazi,dose,inaingiaje na kutokaje mwilini,madhara yake(side effects),inaingiliana vipi na dawa nyingine(interaction with other drugs),inatumikaje kwa makundi maalum mfano watoto,wazee au wajawazito.
Imefanyiwa majaribio lini,wapi na kwa nani?haya ni baadhi ya maswali ambayo anatakiwa kuyatolea ufafanuzi.bila kujibu maswali haya halafu unaibuka from nowhere na kujidai unatibu!huu ni ukichaa wa aina fulani.naomba apate huduma ya psychiatry haraka iwezekanavyo.
Kwa wale wataalamu wa magonjwa ya akili wanaweza kugundua mambo mawili muhimu hasa kwa jinsi anavyojieleza.
1.grandiose delusion-ile hali ya kujikweza ati yale majani lazima ayaombee yeye ili yaweze kukutibu.
2.hallucination-eti mungu alimuonyesha noti ya 500 na hivyo hii ndio bei ya matibabu.
Mwenye masikio na asikie,huyu mtu ni mgonjwa na anahitaji tiba haraka iwezekanavyo.
toa data acha porojo,watu wengi ni wangapi?serikali ina takwimu za matibabu haya?acheni kuwa gizani!Huyu jamaa ameshawaponya watu wengi sana ninaowafahamu