Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Wandugu huku kwa huyu mganga anayetibu magonjwa sugu kama vile,ukimwi,kisukari,presha,kifafa nk. Ni mbaya kwani watu ni wengi maelfu kwa maelfu huku huduma muhimu kama chakula,malazi,mahali pa kujisaidia, mawasiliamo ya simu hakuna. Kupata huduma siku izi inachukua adi siku tatu.

Mtaka cha uvunguni sharti ainame!
 
Wandugu huku kwa huyu mganga anayetibu magonjwa sugu kama vile,ukimwi,kisukari,presha,kifafa nk. Ni mbaya kwani watu ni wengi maelfu kwa maelfu huku huduma muhimu kama chakula,malazi,mahali pa kujisaidia, mawasiliamo ya simu hakuna. Kupata huduma siku izi inachukua adi siku tatu.

Dah jamaa anajikusanyia pesa yeye ni jelo jelo tu piga mara vichwa 1000 kwa siku anakula ngapi?
 
jamani huyo mchungaji atafutwe haraka na wizara husika kabla mambo hajawa mabaya,watu wataambukizana hapa wakifikiri kweli dawa ipo,chonde chonde wizara fuatilieni hili,kama kweli najua kwenu si habari njema kwasababu mnapata sana kupitia misaada,ila hili wekekeni huruma mbele maslahi baadaye
 
Landcruiser zimezidiwa kwani idadi ya watu ni kubwa mno,Noah zimeaza kusafirisha watu kwa tsh 100;000/=@ per person,palikuwa na patashika nguo kuchanika kwani baadhi ya abiria walikuwawamejiandaa kutoa tsh 70,000/=@.

Mpaka sasa nimekuwa nikipata ushuhuda wa baadhi ya wagonjwa waliopata uponyaji.Jana nilibahatika kupata ushuhuda wa mgonjwa wa Kisukari amabae alinionysha vipomo vya sukari kabla ya kwenda na baada ya kwenda hali yake ni nzuri amepona kabisa wiki mbili zimepita hajatumia dawa kabisa kitu ambacho kilikuwa akiwezekani.

Taarifa nyingine ni kwamba magari kutoka nchi jirani Kenya yameanza kumininika huko Loliondo mashuhuda wengi [Mabus ya Loliondo yanapoegeshwa chini ya mti uwanja wa Sheick Amri ya Abeid] wamedokeza hali ya afya ya watafuta huduma inaweza kuwa mbaya kwasababu huduma nyingi eg Guest houses,Vyoo,Restaurants hakuna.Magari makubwa Lories za JWTZ yaliyojazwa maaskari nayo yamechangia kuongezeka msongamano eneo la Loliondo.
 
Wandugu huku kwa huyu mganga anayetibu magonjwa sugu kama vile,ukimwi,kisukari,presha,kifafa nk. Ni mbaya kwani watu ni wengi maelfu kwa maelfu huku huduma muhimu kama chakula,malazi,mahali pa kujisaidia, mawasiliamo ya simu hakuna. Kupata huduma siku izi inachukua adi siku tatu.

Tuleteeni picha basi manake anaeleta taarifa hizi ni lazima aidha awe amefika au kutoka kwa alie fika huko...sio kwa simu
 
Jamaa anazikusanya sana, na pia wagonjwa wanapona, lakini wanatakiwa wawe makini wasipate magonjwa mengine ya kuambukizana.
 
Jamaa anazikusanya sana, na pia wagonjwa wanapona, lakini wanatakiwa wawe makini wasipate magonjwa mengine ya kuambukizana.

Nahofia kama dawa zake ni za mazingaombwe patakuwa hapatoshi watu wanatumia malaki na malaki akihamia town atazichanga sana
 
huyu babu ukisimuliwa unaona ni utan ila ukiona watu wanavyopona ndo utaamini dunia inaenda mwisho jamani
 
Hivi nae amekataa asipigwe hata picha?
 
Wewe ulienda? umeona? Umeamini? Basi ni jambo la kushukuru sana.....linatia moyo
 
Guys look how it works!!

Kama atapona mtu mmoja tu!! Then ikadhibitishwa...Kuanzia hapo watu wengi watapona kirahisi.

Kinachotakiwa ni kudhibitishwa..

Kama ikidhibitishwa OBJECTIVELY mtu kapona UKIMWI ...etc!!

Then watu wengine wanaweza kupona hata bila kwenda kumuona...

KUONA NA KUSIKIA ....TAYARI ITAKUWA NI DAWA..

You dont need to go there .... Tafuta mtu aliyepona...hakikisha then NA WEWE PONA What is a big deal..?

That is the formula...

Narudia..

Tafuta mtu aliyepona ..muone kabisa ..dhibitisha... then..PONA unasubiri nini!!

TELL THIS TO ALL PEOPLE YOU LOVE...!!

Wenye imani baada ya kuona mgonjwa aliyepona na yeye atapona...

Then Lete Majibu hapa JF...plus this post!!

The JOB will be done...tutaeleza how it worked!!!
 
Mama aonekana loliondo je?dawa,je?mwarabu amekwenda kulipa fadhila kwani ana maliza wanyama,je baba alikwenda kwa njia ya kuangalia unyayo wa mtu wa kale akachukua share yake ya dawa na sasa zamu ya mama?

... Mangi Giddeon?
Sasa kama watu wahitaji dawa si wachangamkie tu? Mficha **** hazai!
 
Nafikiri atakuwa amekwenda kwa Babu kunywa maji ya uzima!!
 
Mama aonekana loliondo je?dawa,je?mwarabu amekwenda kulipa fadhila kwani ana maliza wanyama,je baba alikwenda kwa njia ya kuangalia unyayo wa mtu wa kale akachukua share yake ya dawa na sasa zamu ya mama?

Kumbe wanakale kaugonjwa.....?!
 
huyu babu ukisimuliwa unaona ni utan ila ukiona watu wanavyopona ndo utaamini dunia inaenda mwisho jamani

sasa hapa dunia inaenda mwisho aundo inazidi kuwepo??
watu engi kwa kweli, me nilona jana kwa TV.wengine washuhudia live kupona.
Mungu atukuzwe.
 
Hapo kuna ulinzi?? au ndo hao JWTZ wanalinda mana siajelewa wao wanatafta dawa au kulinda??
wasijempora huyo mzee wa watu, manake kwa kweli kama antibu sukari, ukimwi, presha, n.k basi anfanya kazi kubwa af more than fea.
 
Back
Top Bottom