Kiluvya2011
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 215
- 31
babu anasema mtu mwingine akichuma au chimba huo mzizi wa dawa hawezi pona mpaka achimbe yeye....sasa swali je?, kuna nguvu za giza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu hususani ka mdudu kama ukibahatika kupona.Jamaa anazikusanya sana, na pia wagonjwa wanapona, lakini wanatakiwa wawe makini wasipate magonjwa mengine ya kuambukizana.
mie nataka kupunguza unene..jamani:wink2::wink2:
babu anasema mtu mwingine akichuma au chimba huo mzizi wa dawa hawezi pona mpaka achimbe yeye....sasa swali je?, kuna nguvu za giza?
BABU AMESHAWAHAKIKISHIA WATU WALIOPO HAPO kwenye mafoleni kuwa HAKUNA ATAKAYEZIDIWA, wala kufa katika himaya yake hiyo...maana aliona wengine wakikata tamaa ya kupata dawa, na kuhofia maisha yao.
Na ukweli ni huo kuwa hakuna baya lilijiri maeneo hayo...
Wanafikishwa hapo watu ambao walikuwa wanalishwa na kuvalishwa, lakini wanaondoka wakiwa wanapiga hadithi...
BABU AMESHAWAHAKIKISHIA WATU WALIOPO HAPO kwenye mafoleni kuwa HAKUNA ATAKAYEZIDIWA, wala kufa katika himaya yake hiyo...maana aliona wengine wakikata tamaa ya kupata dawa, na kuhofia maisha yao.
Na ukweli ni huo kuwa hakuna baya lilijiri maeneo hayo...
Wanafikishwa hapo watu ambao walikuwa wanalishwa na kuvalishwa, lakini wanaondoka wakiwa wanapiga hadithi...
Wagonjwa wako wengi humu! Nenda kwa babu ukapate dawa! hii ni ile itokayo baada ya kukoboa mahindi! Inaitwaje vile?Dear kwani kuna dini inayoitwa mpe Yesu maisha yako? Mbona hilo ni tendo ama umeshawahi sikia kuna dini kama hiyo? We mwenzangu unadini mimi sina dini wala si amini katika yoyote ile maana hakuna iliyowahi kunisaidia na wala haitakuwepo kwani nimapata kweli nayo imeniweka huru....Imani yangu ni kwa Yesu kwamba alikuja kwa jina linaitwa Imanuel yaani Mungu pamoja nasi alipokufa na kufufuka akapewa Jina jipya lipitalo yote yaani Yesu Kristo na kwamba yeye ndiyo njia kweli na uzima wengine wote ni matapeli na akanionya nikiwaamini laana yake inakuwa juu yangu. Akaniambia nakupa msaidiza yale yote niliyokufundisha na ambayo sijakufundisha atakueleza. Akanipa na alama ya utambuzi huyu msaidizi akija ndani yangu kwamba nitanena kwa luga ambayo pass word ninayo mm na yeye tu, nikiwekea mikono wagonjwa watapona na ikitokea nikanywa kitu chenye sumu bila kujua sinta pata madhara yeyote hiyo ni pamoja na mbu wakining'ata malaria inakufa ndani kwa ndani, damu yangu ikigusa UKIMWI bila kuvunja amri yake unatimua mbio kabla sijagundua kama umeingia mwili; kansa ikijaribu kuleta umbea inapigwa na radi...To be frank I am enjoying all these for the past seven years hata panadol sikumbuki ladha yake; mtoto wa mwisho nilijifungua kama mwanamke wa kiebrania bila labour pain manesi na madaktari waka panic kwa hofu, mchawi akinikaribia yeye mwenyewe anaanza kujieleza kabla ya mimi kuongea etc basi nikagundua kumbe wenye dini wanatutapeli tu, maana nimekaa kwenye dini for 28 years bado the devil was kicking me left and right like its toy. Dear you can enjoy heaven on earth kwa garama tu ya kuutafuta ukweli diligently with a humble heart that you listen to all and make your own experiments to proove if it works....
imani. Na si ajabu na ni kweli. Kama huamini waulize viongozi wako wa juu serikalini akiwemo pm na presdaa.
Ni kweli ndugu zangu,Mm aunt yangu last week ameenda huko kutibu HIV,Juzi na jana amekwenda hospital yupo safi/negative kabisa.Sharti akipata tena no kupona.