Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

msalimie babu yetu,uje utupe taarifa kamili....Ev a nyc trip,usisahau kubeba chakula cha njiani na maji mana mpaka uje upate huduma utatumia kama wiki mbili kama sio mwezi mana foleni haijawi tokea afrika mashariki nzima.
 
jamani kuna tetesi eti babu anasitisha huduma coz ya kwaresma.hii iko vp,maana nilijiandaa ku mvisit this week.
Alisema hivyo ila kutokana na wingi wa watu amesema ataendelea na doziiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Umejiandaa?? Kwa chakula, maradhi, na kila kitu ndugu hakuendeki huko.

Uwe umeomba ruhusa wiki mbili wenzio wamekwenda na kurudi kapa wanawahi kazini

Asante Desidii nimeomba ruhusa wiki 1 sio zaidi
 
Sijui kama itatosha maana nasikia kuna watu wanasiku tano hawajahudumiwa.

Maji kilimanjaro ya 500 nasikia ni 2500 so upo hapo Bidada??

kuna jirani yangu alikwenda thursday amerudi jumamosi na amepata dawa
 
Kwani shehe yahya anatoa huduma ipi? Mhh mbona kwake hakuna foleni?
 
Kazi imeanza!!??

kipindupindu!
Hiyo avatar yako!! hivi huyo si ile dugu yetu kuba sana Gabe ya Zim, au mustach nafanana tu? hii jamaa pale nyuma nafanza yeye nini? Tawaja kidogo au lamba yeye sehemu nyeti. namna hiyo kipindu pindu tapona kweli? hiyo jamaaa kama namalija, ane ambia yeye osha domo eeh! haya baba kwaheri eeh!
 
Sijui kama itatosha maana nasikia kuna watu wanasiku tano hawajahudumiwa.

Maji kilimanjaro ya 500 nasikia ni 2500 so upo hapo Bidada??

ameniambia maji ya 1.5ltrs 2000 soda 1500 labda itakuwa baada ya wao kurudi ndio wachuuzi wamepandisha bei
 
Muulize kama babu anatibu macho niache kuvaa miwani.
 
Back
Top Bottom