Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa mantiki ya kuleta hii thread humu,hadi sasa unaleta hii habari bado hauna imani na ndio maana unasaka watu walete ushahidi ili wajiridhishe.Babu kule yuko wazi ukichakachua unakunywa maji.Mwenyewe umelonga kuwa hakuna dawa ya kuponya kifo kwa hiyo unacholaumu ni nini!!!Unaogopa kusema ukweli kuwa huwa imani na tiba ya babu ila unatumia lugha rafiki ili usishambuliwe humu.Hakuna mtu ambae hataonja mauti hivyo kubali matokeo tu kwani hata wale waliofufuliwa na yesu(kwa imani yangu) mwishoe walikufa.na hata ambao watajitokeza kutoa ushuhuda wa babu mwisho wa siku watakufa tu.suala ni timeframe huyu kakaa siku ngapi huyu miaka mingapi.huo ndio ukweli

Asante kwa ushuhuda pole sana mkuu, mimi nitakuwa wa mkristu wa Mwisho TZ kumwamini huyu babu.
Je samwel aliitwa mara ngapi ili apewe masharti ya kwenda kueneza neno la Mungu?
Je Musa wakati anapokea amri za Mungu akupewa masharti?
Kwa nini Yesu aliambiwa akapalizwe uwinguni kupitia milima ya Oliva na si kwingneko?
Je, Yesu si alishawai kusimamia sadaka mpaka akamsifia mjane aliyetoa kidogo?
Je Yesu alisemaje kwa anayetaka kumfuata?si sharti abebe msalaba wake? Si sharti?
Hamna kitu chochote duniani kisicho na sharti! Hapa kucheka sharti uoneshe kuhusika na jambo fulani,kuendesha gari sharti uliwashe! Kula sharti umeze! Au mpaka kila kitu kitajiwe sharti ndo ufurahi? Anasema wajiulize kama Mungu anaponesha kwa msimu,je kwani baba kashaacha kutibu?
Acheni wivu, Babu kafunuliwa! Kwa ili fanyeni siasa ila hapa siambiliki japo mi na dini ya babu tofauti!
Mwambie amshukuru babu kwa kumponya lakini aendelee na diet kama alivyoshauriwa na daktari.Pole sana siku yake ilifika tu, mimi bosi wangu ameenda na sasa yuko fiti sana ameanza hadi kula vyakula alivyokataliwa na doc
Ufunuo wa Yohana sura 22:1-2 umenena hivi 'Kisha yule malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima ung'aao kama kioo na kutiririka kutoka kwenye kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo, 2kupitia katikati ya barabara kuu ya mji huo. Katika pande zote za mto huo kulikuwa na mti wa uzima utoao matunda ya aina kumi na mbili, na kuzaa matunda yake kila mwezi. Majani yake ni ya kuwaponya watu wa mataifa.
My take:
kwa imani yangu ya Kikristu nashawishika kusema kuwa huo mti ulioongelewa hapa ndiyo mchungaji Ambilikile Mwasapile anautumia katika hiyo tiba. Je wadau mwasemaje?
Prof. Hiyo sentensi yako ya mwisho una maanisha nn? Dawa ya babu itaua wote walioinywa?duh! Pole sana ndugu yangu. Hata usipoenda kwa babu kufa lazima it is just a mater of time. Sema tu mi ningeishauri serikali kuwa baada ya kuibariki tiba ya babu na kusema kuwa ule mti ni sumu kali tena unatumiwa na wawindaji kupaka kwenye mishale. Basi waanze kundaa pesa ya kuwalea yatima na wajane.
pole sana kwa msiba ila naomba ujue kwamba kuna dawa ya babu na mapenzi ya Mungu.hata ukinywa dawa ya babu kama muda wa kuitwa kurudi kwa BABA umefika ni lazima utatuacha tu.
jina la Bwana lihimidiwe
Lakini hata hao wenye imani haba, basi ushahidi huu wa kisayansi uwaamshe waende kwa babu wanywe kikombe; wasidharau moja kwa mojaKwenye masuala ya imani huwezi thibitisha kisayansi hata kidogo.