Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Kuna watu wengi wamehoji ushahidi wa kisayansi wa kikobe cha babu, Kwao wao ili dawa itibu lazima wapate scientific explanation. Kwa wengine imani inatosha kwani Babu anasema kinachotibu si yeye bali neno la Mungu lililowekwa katika mti huo; yeye ni kiunganishi cha mgonjwa na neno hilo. Kwa wanaotibiwa kwa imani hadi sasa hakuna tatizo, ila kwa wale wanaotaka kisayansi wameonekana kutokubali.
Sasa tunaambatisha maelezo ya kisayansi na uchunguzi mbalimbali wa kisayansi wa mti huo
Shukrani nyingi kwa Rose wa WHO dsm.

What does 'scientific explanation' mean? Kuna baadhi ya wagongwa wamekuwa wakienda hospitali kupimwa na kuambiwa hawana ugonjwa wakati wao wanajiona ni wagongwa. Wengine wako kitandani. Hapa 'scientific explanation' ni nini: kwamba hawaumwi kwa vile vipimo vya hospitali havikuonyesha ugonjwa wowote au wanaumwa kwa vile wao ndio wanaosikia udhaifu mwilini hata kushindwa kuamka na hivyo kubakia kitandani? Hao wanaotoa 'scientififc explanation' wange'define' kwanza ili tujue wana maana gani.
 
What does 'scientific explanation' mean? Kuna baadhi ya wagongwa wamekuwa wakienda hospitali kupimwa na kuambiwa hawana ugonjwa wakati wao wanajiona ni wagongwa. Wengine wako kitandani. Hapa 'scientific explanation' ni nini: kwamba hawaumwi kwa vile vipimo vya hospitali havikuonyesha ugonjwa wowote au wanaumwa kwa vile wao ndio wanaosikia udhaifu mwilini hata kushindwa kuamka na hivyo kubakia kitandani? Hao wanaotoa 'scientififc explanation' wange'define' kwanza ili tujue wana maana gani.
Unachosema ni kweli, lakini sasa tumeambatisha ushahidi wa kisayansi ili nao waamini; wasiwe na visingizio eti dawa ya babu yaweza kuwa sumu!
 
nadhani threads hizi ziunganishwe. Ziko kama tatu hivi zote zinaelezea ushahidi wa kisayansi wa kikombe cha babu. Kuna moja yenye attachment kama ya thread hii na kuna ile niliyoanzisha yenye attachments nne.
 
mwingine alienda kwa ajiliya kuolewa vikao vishaanza mti huu una makubwa
 
Public Health and Sanitation Minister Mrs. Beth Mugo has dismissed so-called traditional and faith healers saying the government would not allow them to mislead the public that they can cure all sorts of illness.
Speaking in Machakos in celebrations to mark the World Tuberculosis Day Mrs. Mugo said the faith and traditional healers posed a threat to the health of Kenyans.
She said claims that the healers could cure all manner of diseases including known epidemics like HIV/Aids and Tuberculosis by praying facilitated transmission of the illnesses to other people.
"It is bad for pastors and traditional healers to tell people they can heal all diseases and ask them to quit drugs. Get prayed for but continue taking your medicines. This is a lie that is causing confusion among people", said Mrs. Mugo.
Mrs Mugo dismissed reports in a section of the media that a doctor in Loliondo, Tanzania was curing all illness by giving some herb from a poisonous tree to the patients and asked the Tanzanian Government to close down the place and ban people from visiting the "healer".
"When we meet with health ministers from the East African Community soon in Burundi, I will ask the Tanzanian health minister to lock up that man and close down his outfit. People going there will come back to spread diseases like TB and HIV/Aids much further", she said.
She said the Government was also monitoring television and radio preachers who claim to heal all diseases with a view to taking an appropriate action to avoid the spread of diseases and creation of confusion on use of medicines in the country.
The minister ordered public health Permanent Secretary (PS) Dr Mark Bor to ask such a healer camping outside Afya House to relocate to a different place.
She also asked Machakos District Commissioner (DC) Mr. Kamau wa Kobia to remove healers and their signboards posted outside Machakos General Hospital to a different place.
"We are not at war with traditional healers and faith healers because we know some traditional herbs may treat some ailments but not all. However, our people must use conventional medicines that have been proved to cure diseases rather than leaving our people t the mercy of witchdoctors and pastors claiming to have healing powers", she said.
She said that while Christians and other religious groups were free to attend healing prayers, those sick with diseases like Tuberculosis and HIV/Aids and other terminal illnesses needed to visit qualified medical personnel.
As the world marked the TB Day a report released by the international medical humanitarian organisation Médecins Sans Frontières (MSF)promises new diagnostic test that will finally help detect more people with drug-resistant tuberculosis (DR-TB), increasing the urgency to solve major problems around the pricing and supply of DR-TB medicines.
According to the report, DR-TB is on the rise, but less than 7% of 440,000 new cases each year receive treatment with the disease killing 150,000 people annually.
The treatment of DR-TB relies on old antibiotics, many of which have severe side effects, ranging from constant nausea to deafness, and must be taken as complex regimens - patients must take up to 17 pills every day for up to two years.
However, these are the only drugs that exist today that can tackle DR-TB. MSF's report shows that these drugs are riddled with persistent supply and price problems that must be urgently addressed.
Additionally, MSF's report found that several DR-TB medicines are very expensive, with prices for two drugs having increased by more than 600% and one drug by more than 800% over the last decade.
A 24-month DR-TB treatment regimen can cost as much as US$9,000 for one patient - 470 times more than the $19 per patient it costs to cure standard, drug-sensitive TB.
Meanwhile failure by patients to adhere to prescriptions has led to emergence of multi drug-resistant tuberculosis (MDR TB) in Homa Bay District.
The district has recorded the highest default rate at 7%, complicating efforts to fight the disease.
The high prevalence rate of HIV/Aids has further compounded the war against the killer disease, said area officer in charge of Leprosy and TB Apollo Odongo.
Speaking at Rodi market during the World TB Day, Odongo said some 1, 165 cases of the TB have been reported in the district.
He described the district as one of the areas with the highest number of TB patients living with the HIV/ Aids virus saying the co-infection rate stands at 80% against the national figure of 60%.
The medic said treatment of the MDR TB was too expensive with Ksh 1.3 million required to treat one case and appealed to all stakeholders to contribute towards the prevention and treatment of the disease saying the responsibility should not be left to the Ministry of Health alone.


Source: KBC
 
Pilipili isiyo shambani mwake yamwashia nini? Leave it to tanzanians honourable minister I beg I beg
 
hahaaaaaaaaaa hapo kazi ipo!waungwana watamwelewa??haana hapa tz mpaka viongozi wanagonga hicho kikombe!
 
Aisee huyu babu kiboko. Haijawahi kutokea mjadala mkubwa namna hii wa kiimani na kitabibu.


Babu amefunika kila kitu. Tumeshasahau mijadala ya DOWANS na ndugu zake sasa. Huu ndio muda wa mafisadi kujisevia kilaini.
 
Hivi karibuni waziri huyo wa Kenya atakuja kunywa kikombe cha babu kwa siri.
Nilipokuwa kwa babu hivi karibuni, wakenya walishaanza kuja; hao watakuwa wa kwanza kumtia kidole machoni
 
Hivi karibuni waziri huyo wa Kenya atakuja kunywa kikombe cha babu kwa siri.
Nilipokuwa kwa babu hivi karibuni, wakenya walishaanza kuja; hao watakuwa wa kwanza kumtia kidole machoni

Na bado wakenya wanazidi kumiminika kwa babu,

Kuna baadhi walionekana jana wakizungumza na mwandishi wa tbc1 wakiitaka serikali yao kutengeneza barabara ya kutoea upande wa kenya lkwenda loliondo ili waweze kumfikia babu kiurahisi, sasahivi wanalazimika kuzunguka arusha ambako ni mbali.

Sasa huyo waziri asipoteze muda wake kuwahadaa wakenya wasije kwa babu, wao si wanatibiwa ulaya na marekani, ngoja wananchi wenzao watibiwe kwa babu loliondo, na kama akiona vipi aende tu apate kikombe kama mh.lukuvi!!
 
Babu mwingine amejitokeza jijini Mbeya maeneo ya mabatini karibia na Meta na kutangaza kuwa anatibu magonjwa yote sugu kwa kutumia mizizi ambayo huichemsha na kunywesha vikombe viwili vyenye ujazo kama vile vikombe vya babu wa loliondo.
'Babu' huyo mpya ambaye ni kijana wa kati ya miaka 28 na 33, yeye amepitiliza zaidi na kudai kuwa anatoa dawa na kinga.

Dozi:
Siku ya kwanza ukienda unakunywa vikombe viwili papo hapo, kimoja ni cha tiba na kingine cha kinga.
Kesho yake utahitajika kwenda kunywa vikombe vingine tena kama vile na hapo kama ulikuwa mgonjwa utapona na hutoumwa tena magonjwa sugu.
Tayari mamia ya watu wanaendelea kumiminika kwa 'babu' huyo kijana kwenda kujipatia tiba na kinga.
Tofauti na babu wa Loliondo yeye tiba yake ni BURE kabisa ila endapo utajisikia kumlipa chochote unaruhusiwa lakini ni baada ya kupona kabisa.
Na sio lazima umlipe pesa, waweza kumlipa hata nguo au mali yeyote tu.

Alianzaje?
Kijana huyo alifiwa na mama yake mzazi miaka mingi iliyopita.
Kuna siku akiwa usingizini alitokewa na mama yake huyo na kuambiwa kuwa kuna mti upo porini unatibu magojwa yote sugu na pia unatoa kinga kwa magonjwa hayo.
Hivyo alitakiwa kwenda huko porini ili kupewa 'kozi' juu ya mti huo.
Ndipo usiku huo huo kijana yule akatoweka kwa miezi mingi huku ndugu zake wakimtafuta kwa muda mrefu bila mafanikio.
Sasa amerudi kutoka katika 'kozi; hiyo na ndipo ameanza rasmi kutoa tiba na kinga hiyo.

Ushuhuda:
Tayari kuna bibi mmoja ajuza ametoa ushuhuda ya kwamba bibi huyo alikuwa kipofu kwa miaka mingi lakini baada ya kupata vikombe hivyo tayari amepona na sasa anaona bila shaka yeyote.

Itakumbukwa huyu ni mtu wa Tatu sasa kuja na tiba za aina hiyo maarufu kwa jina la 'kikombe'
Wa kwanza ni babu wa Loliondo na wa pili ni Kijana wa Tarakea.

Tayari redio kazaa za jijini Mbeya zimeshatangaza kisa hiki.

My take:
Yangu miye macho.
 
Tanzania tunazidi kuipandisha rank kwenye Superstitious.... (Economically ---Dropping down as falling mango from the tree)....

Tutaona mengi mwaka huu...
 
Tafiti kadhaa zimeshafanyika juu ya uwezo wa mti wa Mugariga anaotumia Babu wa Loliondo kutibu. Mti huo kitaalamu unaitwa Carrisa edulis umeonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na aina tofauti ya virusi wanaomshambulia binadamu kama Herpesvirus na wengine

source Anti-viral activity of the extracts of a Kenyan me... [J Ethnopharmacol. 2006] - PubMed result

www.ku.ac.ke/.../In_vitro_anti-viral_activity_of_aqueous_extracts_of_Kenyan.pdf


Haijaripotiwa kama kuna utafiti umeshafanywa juu ya virusi vya ukimwi, au virusi vingine vinavyohusika na cancer.

Kazi kwenu watafiti...
 
Back
Top Bottom