Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal walipandisha jazba sana na mlengo wa hoja zao ulikua ni kufungamanisha uhandsome na ushoga na kufungamanisha sura personal na uhodali wa kutafuta hela. Mambo ambayo kimsingi hayana mahusiano.
Kuna mahandsome ambao ni mashoga, masikini na matajiri vile vile kuna wenye sura personal ambao ni mashoga, masikini na matajiri.
Nasimama na mtoa mada. Bila kujali vigezo vingine, handsome boyz wanapata favour kwenye maeneo mengi sana.
I rest my case.