Mjadala kuhusu handsome boyz na sura personal

Kunywa soda nakuja kulipa!
Wanaume kuna mada/vitu sio vya kujadili hata kufikiria
Urembo uzuri huyu handsome huyu sio, hivi vitu tuachieni watoto wa kike
Kabisa mkuu ikifika muda mtoto wa kiume kwanza ukaanza kujua mwanaume mwenzio ni mzuri au mbaya aisee kuna haja yakujichunguza.
 
Sura personal acheni kuzuga bhana. Kwamba wewe ukiwekewa picha za cristiano ronaldo na ngolo kante ukaulizwa nani handsome hauwezi kujua jibu?
 
Hapo unalazimisha akili yangu kufanyia kazi kitu ambacho sijawahi kukifikiria na sijakifikiria pia.
 
Kabisa mkuu ikifika muda mtoto wa kiume kwanza ukaanza kujua mwanaume mwenzio ni mzuri au mbaya aisee kuna haja yakujichunguza.
Usiamini sana kinachosemwa na wanawake hao hawana msimamo wa moja kwa moja watakaousimamia siku zote. Hapa anaweza akakwambia uhandsome sio deal anataka mwanaume wa maana ila kesho akajitokeza uyo mwanaume wa maana na akamkataa akamchagua handsome, mnalamba lips na kijana fulani wa ovyo ovyo. Usiamini sana kinachosemwa na mwanamke
 
Iman

imani yangu binafsi inaamini hivyo ila si kwa sababu ya mwanamke mkuu.
 
Unajifanya mstaarabu tu hapa uonekane mtu poa ila tofauti ya handsome na sura personal unaijua vizuri kabisa
Mkuu vitu vingine acha nature ifanye kazi mambo mengine tuwaachie kina dada waamue tu zaidi naona unaongelea mitazamo yako kwa kuilazimisha iote ndani yangu.
 
Back
Top Bottom