Mjadala kuhusu handsome boyz na sura personal

Mjadala kuhusu handsome boyz na sura personal

Mm nina swali ila msinielewe vibaya hivi huu muda mnapata wapi et sura personal na handsome boys hata kwa first sight binafsi kuwatofautisha hao watu uwa sijui i really i appreciate every nigga around me as a men tuache hizi mambo.
Kunywa soda nakuja kulipa!
Wanaume kuna mada/vitu sio vya kujadili hata kufikiria
Urembo uzuri huyu handsome huyu sio, hivi vitu tuachieni watoto wa kike
 
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.

Wenye sura personal walipandisha jazba sana na mlengo wa hoja zao ulikua ni kufungamanisha uhandsome na ushoga na kufungamanisha sura personal na uhodali wa kutafuta hela. Mambo ambayo kimsingi hayana mahusiano.

Kuna mahandsome ambao ni mashoga, masikini na matajiri vile vile kuna wenye sura personal ambao ni mashoga, masikini na matajiri.

Nasimama na mtoa mada. Bila kujali vigezo vingine, handsome boyz wanapata favour kwenye maeneo mengi sana.

I rest my case.
Ngoja tuone ila nadhani ipo shida mahali, Wanajichubua sana
 
handsome boyz
Unamaanisha watoto wa Mama Watoto Mchele Mchele makeup kwa wingi vipodozi 200 wapaka shedo na lip shine alafu wanang'ata midomo,

Hakuna favour wala nini ni exposure tu uwe na Sura ya Mama au uwe na Sura ya Baba, how do you expose yourself?
 
Mm nina swali ila msinielewe vibaya hivi huu muda mnapata wapi et sura personal na handsome boys hata kwa first sight binafsi kuwatofautisha hao watu uwa sijui i really i appreciate every nigga around me as a men tuache hizi mambo.

Kwa mwandiko huu wewe ni ME au KE?
 
# ROCA FELLA

MOLA MTUFUKU HAKIKA ALISEMEZANA NA AL MASIH ISSA IBN MARYAM PAMOJA NA JESHI LA MALAIKA ZAKE YA KWAMBA TUMUUMBE MTU KWA MFANO WETU NA SURA YETU, MOLA MLEZI AKACHUKUA UDONGO UKAUUMBA BINADAMU WA KWANZA NABII ADAMU.

BASI KATIKA HUU ULIMWENGU HAKUNA MWANADAMU MBAYA WA SURA NI MATUNZO TU MTU KUONEKANA AMECHAKAA LAKINI BINADAMU SISI TUNA SURA NZURI WANAWAKE KWA WANAUME.
 
Unamaanisha watoto wa Mama Watoto Mchele Mchele makeup kwa wingi vipodozi 200 wapaka shedo na lip shine alafu wanang'ata midomo,

Hakuna favour wala nini ni exposure tu uwe na Sura ya Mama au uwe na Sura ya Baba, how do you expose yourself?
ungeweza kuwasilisha hoja yako hapo aya ya pili bila kuwadhihaki wengine hapo aya ya kwanza
 
Back
Top Bottom