Mjadala kuhusu Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa kwenye urithi

Tukisema sheria iruhusu mtoto wa nje ya ndoa ukweli ni kuwa watoto feki wataibuka katika jamii wataibuka mara baada ya mzee kurest in peace. Sheria isimame hapohapo kuwa mtoto na mke wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi mpaka wawekwe kwenye wosia wa marehemu.
Halafu hv hamjiulizi kwamba mbna hawa watoto wa nje ya ndoa hawaletwi akifa baba maskini? Ila akifa mwenye mali ndo wanakuja? Mwingne hawara tu hajawah kuzaa na marehemu ila analeta mtoto, sht! Sheria icmamame hapohapo OVER.
 
Nina jambo naomba uniweke sawa sababu mimi siyo mtaalam wa sheria. Swali langu ni kwamba ikiwa ninaishi na binti na nimebahatika kupata nae mtoto ila ikatokea mikwaruzano na kutoelewana nami nikiamua kuachana nae hapa sheria inasemaje?
 
Rejea hukumu hii :
 
π—›π—œπ—¬π—’ π—¦π—›π—˜π—₯π—œπ—” 𝗬𝗔 𝗠𝗨𝗔π—₯𝗔𝗕𝗨 π—‘π——π—œπ—¬π—’ π—œπ—£π—œ π—›π—œπ—¬π—’?

𝗑𝗔 π—›π—œπ—¬π—’ π——π—œπ—‘π—œ 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—”π—₯𝗔𝗕𝗨 π—‘π——π—œπ—¬π—’ π—œπ—£π—œ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…