Mjadala kuhusu programmers wa Kibongo na programming kiujumla

Fanya kazi yako kwa ubora, binadamu (hususani mbongo) kazi yake ni kusema tu
 
Kwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!
Watanzania hawa wanao kariri scenes za hackers au programmers kwenye movies hawawezi kukuelewa, njia rahisi ya ku deal na mijadala hii ni kuipuuzia tu. Mtanzania wa kawaida mpe vitu vilivyo tawala akili yake mfano solution/app ya kudukua mawasiliano ya mpenzi wake, hapo anaweza kukuona mungu mtu.
 
Kwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!

Aise, Inatengemea. Moja ya faida ya framework ni pluggable unaweza kutoa au kuchomeka component yoyote.

Framework nyingi zinakuja na limitations kwenye baadhi ya component kama ORM, authentication, session na cookies. Vyote hivi unaweza kuvi badilisha kama unavyotaka

Hapa kwetu tunatumia django 3.x.x lakini jinsi tulivyo modify core codebase ya django ili iendane na mahitaji yetu utasema tupo django 7.0 LTS
 
Framework nyingi zinakuja na limitations kwenye baadhi ya component kama ORM, authentication, session na cookies. Vyote hivi unaweza kuvi badilisha kama unavyotaka
Ndio maana ya kuwa open source, haimaanishi kilichoandikwa ni msaafu au biblia, ukiona hakikidhi mahitaji yako unakiboresha kadiri upendavyo, ila kama kina kidhi mahitaji yako huna haja ya kubadili, unachoona kwako ni limitation kwa mwingine kinaweza kuwa ni feature
 
Tuko mbali sana, nimefanya kazi na developers kutoka mataifa mengi Africa na India, wengi ni vilaza tu.
Ni kweli tupo mbali hasa kimifumo kuanzia mifumo ya bank,pesa, malipo, elimu. Sasa utumishi inahamia online. Mambo haya yamepiga hatu kwa muda mfupi.
Hapa namshukuru JPM aliamua kinguvu na ndio walipotokea majipu watumishi hewa. Kikwete hakutaka mifumo ifanye kazi.
Leo ukienda hospitali ni mfumo kuanzua bima hadi matibabu. Tumepiga hatua ila sio kama China. Wabongo wanataka twende haraka zaidi technolojia ikue hasa.
Tunapodemand mambo makubwa zaidi sio hambo baya. Sina hakika nchi kama Kongo, Angola Zambia wanafumo kama yetu.
 
Hahaha
 
Hahaha aseee
 
Kwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!
Naam
 
Hizi website za serikali nani anaezitengeneza naona nyingi zina performance ya chini
 
Ni kawaida yetu Binadamu siyo Watanzania pekee. Hata huko ulaya, na America au Asia walioendelea, kukuta mtu asiye na ufahamu na taaluma, halafu ndiye MPONDAJI mkuu ni kitu cha kawaida sana.

Unaona hapa zaidi kwa sababu unaishi hapa.
 
Wapi mnahost projects zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…