MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Fanya kazi yako kwa ubora, binadamu (hususani mbongo) kazi yake ni kusema tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania hawa wanao kariri scenes za hackers au programmers kwenye movies hawawezi kukuelewa, njia rahisi ya ku deal na mijadala hii ni kuipuuzia tu. Mtanzania wa kawaida mpe vitu vilivyo tawala akili yake mfano solution/app ya kudukua mawasiliano ya mpenzi wake, hapo anaweza kukuona mungu mtu.Kwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!
Kwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!
Aise, Inatengemea. Moja ya faida ya framework ni pluggable unaweza kutoa au kuchomeka component yoyote.Watanzania hawa wanao kariri scenes za hackers au programmers kwenye movies hawawezi kukuelewa, njia rahisi ya ku deal na mijadala hii ni kuipuuzia tu. Mtanzania wa kawaida mpe vitu vilivyo tawala akili yake mfano solution/app ya kudukua mawasiliano ya mpenzi wake, hapo anaweza kukuona mungu mtu.
Ndio maana ya kuwa open source, haimaanishi kilichoandikwa ni msaafu au biblia, ukiona hakikidhi mahitaji yako unakiboresha kadiri upendavyo, ila kama kina kidhi mahitaji yako huna haja ya kubadili, unachoona kwako ni limitation kwa mwingine kinaweza kuwa ni featureFramework nyingi zinakuja na limitations kwenye baadhi ya component kama ORM, authentication, session na cookies. Vyote hivi unaweza kuvi badilisha kama unavyotaka
Ni kweli tupo mbali hasa kimifumo kuanzia mifumo ya bank,pesa, malipo, elimu. Sasa utumishi inahamia online. Mambo haya yamepiga hatu kwa muda mfupi.Tuko mbali sana, nimefanya kazi na developers kutoka mataifa mengi Africa na India, wengi ni vilaza tu.
HahahaWakuu kwema
Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi
Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes we do exist sasa mtu anakupa Kazi anakuambia nina laki 2 Nikikuambia unipe million 30 nikutengeneze website au system from scratch utanipa? Si utaniona mimi ni chizi sina akili? TunAfanya hivi kwa sababu hela ni ndogo.
Wewe from scratch unaijua? Definitely hujui
Programming ni consistent tuu na exercise pamoja na ku stick na sehemu moja. Labda ya web dev au mobile dev au game development or data science etc
Changamoto nyingine kubwa unakuta mtu anataka umtengeneze project ila cha ajabu na kushangaza hana hata documentation yeyote ya flow ya project yake yeye anatoa tuu kichwani daah disgusting 🤮
Nitaendelea hii pia ni tatizo
Tatizo lingine ni ujuaji mtu hajui coding lakini ni mkosoaji mkubwa
Ndio maana ya kuwa open source, haimaanishi kilichoandikwa ni msaafu au biblia, ukiona hakikidhi mahitaji yako unakiboresha kadiri upendavyo, ila kama kina kidhi mahitaji yako huna haja ya kubadili, unachoona kwako ni limitation kwa mwingine kinaweza kuwa ni feature
Hahaha aseeeHakuna mahusiano kati ya kuwa developer wa kitanzania au kimarekani. Jambo ni moja unajua au ujui.
Tusema mimi ni mtanzania, Bsc. SE nimesoma nje, hapa mimi ni developer kitanzania au huko nilikosoma?
Kama developer fanya kazi kwa standard za kimataifa, kuanzia documentation hadi code writing.
git, github, docker, hizi cloud infrastructure lazima ujue
Kati ya ugomvi mkubwa sana hapa kwetu ni hawa developer tia-maji tia-maji, Jaribu kumuambia developer akupe sample ta project alizofanya, au project open alizo contribute, uone jinsi anakushushia matusi na kuanza kujitapa anafanya project za ma makampuni makubwa makubwa na pia yeye ni hacker, hawezi kuonyesha code zake
Kumbe hamna kitu
Kuja jamaa alinitafuta anataka nifanye project, alikuja na idea tu ya APP na website. Nikamuambia mimi project siwezi ku code tu lazima nipate muongozo wa documentation ( features, flow, designing etc). Akaniambia hana, kwa kua idea alikua nzuri nikandaa mwenyewe nikamtumia, akaniuliza budget nikasema hii project sio ndogo na wewe huna office na mimi siwezi kufanya mwenyewe lazima ni employee, budget yangu ni 47M aise jamaa mpaka leo hajawai nitafuta tena
Hapa ukiwa developer wa kawaida hapa 5M unachukua projects unaunga unga templet un submit, baada ya mda unakuja kupokea threads zako JF
Wengine tuna standards zetu
HahahaTuko mbali sana, nimefanya kazi na developers kutoka mataifa mengi Africa na India, wengi ni vilaza tu.
NaamKwenye ishu za software development huwa tunasema "Don't re-invent the wheel". Kama modules unazozihitaji zinapatikana katika framework fulani tumia hizohizo. Ni ujinga kuanza kutengeneza from scratch kitu ambacho tayari kipo na kinapatikana!
Wapi mnahost projects zenu?Aise, Inatengemea. Moja ya faida ya framework ni pluggable unaweza kutoa au kuchomeka component yoyote.
Framework nyingi zinakuja na limitations kwenye baadhi ya component kama ORM, authentication, session na cookies. Vyote hivi unaweza kuvi badilisha kama unavyotaka
Hapa kwetu tunatumia django 3.x.x lakini jinsi tulivyo modify core codebase ya django ili iendane na mahitaji yetu utasema tupo django 7.0 LTS
Microsoft azureWapi mnahost projects zenu?
Wataalam wao wa IT walio waajiri kiujamaa jamaaHizi website za serikali nani anaezitengeneza naona nyingi zina performance ya chini