Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Haya tumesikia weka na orodha ya wake za watu walio chuoni kwenu off compass na hukawai kuwaona na wanaume wengine ili tulinganishe kunguru na njiwa ni wangapi sbb hata hapa mjini maghorofani watu waneshindwa kuwafuga kunguru
 
Dogo unaweza ukaishi na mwanamke nyumba moja na ukawa unasalitiwa vizuri tu, suala ni akili ya mhusika mwenyewe hawala zero distance haiondoi kuchepuka
 
Uzi flan wa kibabe sana...hapa gold digger wote.
Watasingizia et hawana bundle [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Uzi flan wa kibabe sana...hapa gold digger wote.
Watasingizia et hawana bundle [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamaanisha gold digger hapendi siri zake ziwe hadharani au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamaanisha gold digger hapendi siri zake ziwe hadharani au?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] washazoea kuwatapeli ma boya hawa Betta male.a.ka Nice guy..... Sasa wakifungua Uzi km huu wa Alpha male bhac wanajificha huko huko...
 
Marriage Is Female Institute ...... Hawa viumbe hata kwenye mahusiano ya kawaida ukichunguza Malalamiko yao asilimia 90% ni kuhusu matatizo yao binafsi

Ni mara chache sana ukute wanalalamika kwa matatizo ambayo yakitatuliwa yatakua na faida kwa both sides

Yao ni wabinafsi mnoo mnoo ...

Swala la kuoa linahitaji sana kumtanguliza Mungu na kutumia Utashi na busara sana
 
Kwanza huwa hakuna kuoana.
Mwanaume unaoa.
Ndio maana unalipa mahari.

Kikubwa tufanye interest zetu. Tusitekeleze matakwa ya wanawake na watoto wao.
Ndio maana tunakufwa mapema
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] washazoea kuwatapeli ma boya hawa Betta male.a.ka Nice guy..... Sasa wakifungua Uzi km huu wa Alpha male bhac wanajificha huko huko...
For sure mzazi
 
Muwage mna summarize bas khaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa imekua biashara, team pinzani wako kimaslahi

ni aina nyingine ya kujiuza, unalipa mahari, bado ndani 'umhudumie' na umlipe mshahara

Liverpool VPN hakuna kuoa
 
Oa halafu ishi maisha yako hataki aende ....hafuti unavyo taka aende....anakuletea jeuri wakati una mlisha aende ...usisingizie watoto wataishije na bla bla zingine ....Kuna watoto wanazaliwa tu na mama zao wanapoteza uhai ..mkwani hao wanaishije ....?

Hakuna tuzo utakayo pewa ya kusumbuana akili na mwanamke mpuuzi ......piga chini
 
Nafikiri sio mbaya ilimradi mmekubaliana tuu. Kwasababu mwanaume ana wajibu wa kumtunza Mwanamke kwahiyo Sio Ajira ndio mfumo ulivyo.. sasa akuzalie tuu watoto iwe halafu yeye ajitegemee impossible . Maana ya kuwa mime your responsible
 
Sio ajitegemee mkuu, ukisoma uzi ukaulewa ni kwamba unaeleza kuwa ni jinsi gani wanawake wa sasa wanajali vitu kuliko utu, je, ndivyo Mungu alivyoagiza hivyo... Kwamba wanawake waishi na wanaume kwa sababu ya mali au pesa mwanaume alizo nazo? Na kama akiwa tegemezi kwako kiasi Cha kushindwa na yeye kutengeneza mwenyewe, vipi ikitokea mwanaume Hana uwezo wa kupeoduce tena? Au vip mwanaume akifariki akamuachia watoto? Huyo mwanamke ataleaje kama asipodanga kwa kuwa amezoea kupewa tu na kutafuta hajui
 
Nafikiri sio mbaya ilimradi mmekubaliana tuu. Kwasababu mwanaume ana wajibu wa kumtunza Mwanamke kwahiyo Sio Ajira ndio mfumo ulivyo.. sasa akuzalie tuu watoto iwe halafu yeye ajitegemee impossible . Maana ya kuwa mime your responsible
Tunachojaribu kushauri ni wanawake kuacha kuwa tegemezi kwa wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…