Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mbona husemi ukweli?

Sema tu kama umechapiwa beibe wako tukupe pole bwashee [emoji23]
Bora ata angekua malaya mzee... yani ni ana mdomo afu hua ananipiga na juz alinipiga zaid ya mara 2... nilipojibu mapigo alilazwa na ni mjamzito yani hua namuona kama likichaa kabsaa... ni bora awe malaya mzee hua nafikiri hii taka hii itakuja kunifunga siku 1
 
😂😂😂😂 Nihii mzee sampuli ya mwanamke wako hata mambele wapo
Your browser is not able to display this video.
 
Nawasalimu kwa jina la JF ...nimejarbu sogea tukae nimetoka KO.. najarbu kujinasua nayo maana maji yamezid unga.. # THE THING I FEARED MOST HAS HAPPENED TO ME#
Mambo ni mengi hata kuelezea nashindwa..

Maana yake ni kwamba hujapata mtu sahihi
 
Nina scenario ambazo zipo zaid ya 10... sometimes ukiwa hupend kuelezea sana unataman kukaa kimya tu

Hili ndio Lina fanya wanaume tunakufa
Mkuu wewe zungumza upate moyo,watu wakupooze

Ndio maisha
 
Eeh! Pole sana mkuu. Hii fursa, anzisha NGO ya wanaume wanaopigwa na wake zao upige mahela.
 
Aiseee,huyo kimbia
 
Pole mkuu
Hua kama hivyo
 
Haya mambo ya wanawake wenye midomo na mengineyo, ndio yanafanya vijana sasa hivi hapa JF kuja na kampeni yao ya kukataa ndoa.
 
Nawasalimu kwa jina la JF ...nimejarbu sogea tukae nimetoka KO.. najarbu kujinasua nayo maana maji yamezid unga.. # THE THING I FEARED MOST HAS HAPPENED TO ME#
Mambo ni mengi hata kuelezea nashindwa..

Wanawake ili uwaoe na mkae vizuri utatakiwa mambo haya
1. Akili za kiume
2. Uhuni
3. Ubabe kiasi
4. Pesa za hapa na pale.
5. Nguvu za kiume
 
Nawasalimu kwa jina la JF ...nimejarbu sogea tukae nimetoka KO.. najarbu kujinasua nayo maana maji yamezid unga.. # THE THING I FEARED MOST HAS HAPPENED TO ME#
Mambo ni mengi hata kuelezea nashindwa..
Man down, I repeat man down, Sergeant do you copy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…