Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ndoa si tatizo, tatizo mnakurupuka mnaacha misingi ya kuoa. Mnavamia tu
 
Hili la kujichagulia mmefeli kabisa, basi rejeeni utaratibu wa zamani wa kuchaguliwa mke au mme.
 
Mnakurupuka amuangilii vigezo, mnajibebea tu bila kuangalia nyota, mizimu, mpoje kiMungu.
 
Ndoa ni ibada ndoa ni muunganiko wa kiroho zaidi kuliko kimwili. Hamuwezi kwenda kimwili.
 
Back
Top Bottom