Jay El
JF-Expert Member
- Oct 13, 2020
- 459
- 728
Bora ata angekua malaya mzee... yani ni ana mdomo afu hua ananipiga na juz alinipiga zaid ya mara 2... nilipojibu mapigo alilazwa na ni mjamzito yani hua namuona kama likichaa kabsaa... ni bora awe malaya mzee hua nafikiri hii taka hii itakuja kunifunga siku 1Mbona husemi ukweli?
Sema tu kama umechapiwa beibe wako tukupe pole bwashee [emoji23]