Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mtego huo ......STUKAAA

Ila sijasema usioe.
 
Nasikia kajinyonga...afu ashawaigi kupata kesi ya kurawiti mtoto lakini wakaiminya kisela....matokeo yake karma is real
Kuna yule manzi wa Zenji ilivuja clip anapakuliwa bonge la shimo, sikusikisia kwamba amejinyonga ameendelea na maisha mengine Ila jamaa kajinyonga kweli au tetesi?
 
Usijiroge ukahudumia wakwe
 
Hayo matoto ya kiume yakiwa makubwa yanakuwa manyanyasaji kwa baba zao wa kambo, ukitokea ugomvi kidogo tu na mama yao, yanasepa na mama yao mzee unaachwa ukitaabika.
Dah! Umeongea ukweli mchungu Sana. Kuna dogo hapa mtaani kajenga nyumba ya miti akahamishia mama yake. Baht mbaya mzee baba Sasahivi yupo Kama mwehu....
 
kama kilivyo kichwa cha habari!! namimi rasmi nimeamua kuunga mkono kampeni, hii ni baada ya kugundua kuwa wanawake wengi wanatumia ndoa kama chanzo cha kujipatia mitaji yaani anafunga ndoa baada ya muda anaanza visa ili mgawane mali ulizozichuma kwa jasho lako.. so sad ama kweli ndoa ni utapeli
 
Japo umechelewa kujua hilo bado muda unao
Usiogope ndo mambo yalivyo.
Ngoja waje watakupa full details sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…