Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
SI KWELIjiulize kwanini kwenye jamii za wazungu wanawake hawana hizo stress za ndoa yani kwao mwanamke akiolewa sawa asipoolewa sawa inaonekana kitu cha kawaida tu
Kataa ndoakatika harakati za kupambana na maisha nimechunguza sana wale watu wa kataa ndoa au straight man ambao hawana shobo na wanawake hawa wa kitaa au makazini wengi wao wanapenda malaya
Kwaiyo kutokana na kugonga wimbi la wadada wazuri wa Kila shape ,sura na miondoko Kuna wanaume kwao MALAYA ni burudani .
Unakuta msela akiwa kitaa au ofisini akakutana na wadada wanaoringa au wanaotafuta attention yeye kubabaika nao ni ngumu manake ana reserve na history ya kula kina aina ya Papuchi nzuri na mbaya so anaona hakuna jipya
Machache kuhusu wale wa kataa ndoa au wapenda Malaya ,nimewaandikia kwa herufi kubwa
1.UKIZOEA MALAYA/DEMU ASIYE PERMANENT KUOA NI NGUMU SANA
2.NA HATA UKIOA BASI MWANAMKE HAUTOTISHIKA NA KUACHANA NAYE
3.PIA UKIZOEA MALAYA HAWA WANAWAKE WENGINE KITAA KUMBEMBELEZA MWANAMKE & KUHUDUMIA INAKUWA NGUMU
4.UKIZOEA MALAYA WANAWAKE WA KITAA,KANISANI ,MSIKITI I AU MAOFISINI HUTOBABAIKA NAO KUWASHOBOKEA
5.UKIZOEA MALAYA AU KUGONGA DEMU ASIYE PERMANENT HUWEZI JINYONGA KISA STRESS ZA MAPENZI
6.UKIZOEA MALAYA GHARAMA YAKO KUU NI KULIPIA HELA YA TENDO ,HAKUNA HELA YA SALUNI,SJUI VOCHA AU MAMA ANAUMWA
7.UKIZOEA MALAYA HUTAKUWA NA STRESS ZA KUTOMBEWA
ONGEZEA MENGINE UNAYOJUA KUHUSU WAPENDA MALAYA AU WATU WA KATAA NDOA
SI KWELISababu kiuhalisia hao wanawake wanaoumia moyoni kinachowaumiza sana sana ni ile tu kufikiria kwamba "jamii itanichukuliaje/itanionaje" na si kwamba eti ni kweli wote wanataka ndoa
Hivi kwanini mnaforce kuwasemea watu hisia zao yani kwanini mnalazimisha mawazo yenu ninyi juu ya hao wanawake ndio yawe sahihi, narudia kwa wazungu mwanamke kutokuolewa ni kitu cha kawaida na wala hutasikia jamii ikimsimanga kila mtu anaheshimu maamuzi yake, na jamii za kiafrika si zifanye hivyo badala ya kujifanya mnawasemea wanawake si muwaache wawe huru kwanini mnaogopaSI KWELI
Fuatilia ujionee hao unaowaona ni feminists nao wanajifariji tu
Hatuwasemei mkuu wao wenyewe huwa wanasema.Hivi kwanini mnaforce kuwasemea watu hisia zao yani kwanini mnalazimisha mawazo yenu ninyi juu ya hao wanawake ndio yawe sahihi
SI KWELIkwa wazungu mwanamke kutokuolewa ni kitu cha kawaida
Duuh sasa mbona unaongea kile kile nilichotoka kukufafanulia ni kwamba hujaelewa au umeamu tu kujitoa ufahamu, sikatai kwamba wanawake ndio wanataka sana ndoa ila nilichoongelea mimi ni sababu inayowafanya watake sana hizo ndoa, ni hii mitazamo ya kijamii dhidi ya mwanamke ambaye hajaolewa ndio inafanya wanawake waogope kutokuolewa au kuachika lakini si kwamba wote wanazitamani hizo ndoa sincerely from the their heartsSI KWELI
Wanawake wanataka ndoa sana. Sijaua umri wako ila wanaume wengi ambao wanaingiza kipato au wana future wanasumbuliwa sana na wanawake wawaoe
Ukiwa nao kwenye mahusiano kuulizwa baby utanioa lini au lini utakuja kujitambulisha kwetu utaulizwa sana. Ndio ujue mwanamke na kuolewa ni chupi na tako
Wanasema hivyo kwa sababu wanaogopa wasipoolewa jamii itawatukana tuHatuwasemei mkuu wao wenyewe huwa wanasema.
Siku ukisikia wanawake wenyewe wanaongea ndio utajithibitishia
Wewe uliona wapi wazungu wanamshambulia mwanamke kisa hajaolewa au kisa ni single mother, anzia hata kwa mastar wao tu achilia ambali ordinary people, unajua usiandike kwa kutumia mihemko andika uhalisiaSI KWELI
Sasa tunashindwa kuelewana wapi mkuusikatai kwamba wanawake ndio wanataka sana ndoa
Mkuu huwezi kushindana na kitu ambacho kipo naturally yaani wameumbwa hivyo. Sababu zako unazotoa sijui jamii itawaonaje sio sababu. Kuolewa ipo kwenye akili zao tangu wazaliweWanasema hivyo kwa sababu wanaogopa wasipoolewa jamii itawatukana tu
Wamekuwa forced kutaka sana hizo ndoa, usijifanye hauelewi, nimegundua napoteza muda kubishana na wewe maana huna hata hoja unaleta mihemko tuSasa tunashindwa kuelewana wapi mkuu
Wewe mwenyewe umekiri kuwa wanataka sana ndoa
Hawako forced mkuu wameumbwa hivyoWamekuwa forced kutaka sana hizo ndoa, usijifanye hauelewi, nimegundua napoteza muda kubishana na wewe maana huna hata hoja unaleta mihemko tu
Kama ni kushindana na nature basi hata wanaume hawawezi kushindana nayo which means hata wao wanaihitaji sana hiyo ndoa, sababu mwanamke anaolewa na mwanaume (ambaye eti yeye anaonekana hahitaji ndoa, sasa anaoa ili iweje yani)Mkuu huwezi kushindana na kitu ambacho kipo naturally yaani wameumbwa hivyo. Sababu zako unazotoa sijui jamii itawaonaje sio sababu. Kuolewa ipo kwenye akili zao tangu wazaliwe
Kama waliumbwa hivyo kwanini kwenye jamii nyingine haiko hivyo kwanini huo mtazamo usiwe universalHawako forced mkuu wameumbwa hivyo
Kumbe tulikuwa tunabishana mimi sikujua hilo [emoji1787]
Kwani hapa Tanzania mwanamke gani katukanwa kwa sababu ya kutoolewa?Kama waliumbwa hivyo kwanini kwenye jamii nyingine haiko hivyo kwanini huo mtazamo usiwe universal
Nimesema nipe mifano ya wanawake wa kizungu wanaotukanwa na wenzao kwa kutokuolewa hujanipa
Unaelewa maana ya kubishana mkuu
Hapa afrika tamaduni zetu zinamlazimisha mwanamke kuolewa tena siyo tu kuolewa bali kuolewa mapema, yani wamekewa na umri kabisa kwamba kuna umri ukifika mwanamke asipoolewa, hata kama hayuko tayari basi huyo ni malaya tuKwani hapa Tanzania mwanamke gani katukanwa kwa sababu ya kutoolewa?
Mkuu ukitaka kujua mitazamo ya watu duniani kutia ndani hao wazungu kuhusu ndoa tembelea mitandao kama quora
Katafute mada za ndoa. Ndio utajua huo mtazamo ni universal sio kutukanwa ila wanawake wanafunguka jinsi wamekuwa wakitamani ndoa