Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

katika harakati za kupambana na maisha nimechunguza sana wale watu wa kataa ndoa au straight man ambao hawana shobo na wanawake hawa wa kitaa au makazini wengi wao wanapenda malaya

Kwaiyo kutokana na kugonga wimbi la wadada wazuri wa Kila shape ,sura na miondoko Kuna wanaume kwao MALAYA ni burudani .

Unakuta msela akiwa kitaa au ofisini akakutana na wadada wanaoringa au wanaotafuta attention yeye kubabaika nao ni ngumu manake ana reserve na history ya kula kina aina ya Papuchi nzuri na mbaya so anaona hakuna jipya

Machache kuhusu wale wa kataa ndoa au wapenda Malaya ,nimewaandikia kwa herufi kubwa

1.UKIZOEA MALAYA/DEMU ASIYE PERMANENT KUOA NI NGUMU SANA

2.NA HATA UKIOA BASI MWANAMKE HAUTOTISHIKA NA KUACHANA NAYE

3.PIA UKIZOEA MALAYA HAWA WANAWAKE WENGINE KITAA KUMBEMBELEZA MWANAMKE & KUHUDUMIA INAKUWA NGUMU

4.UKIZOEA MALAYA WANAWAKE WA KITAA,KANISANI ,MSIKITI I AU MAOFISINI HUTOBABAIKA NAO KUWASHOBOKEA

5.UKIZOEA MALAYA AU KUGONGA DEMU ASIYE PERMANENT HUWEZI JINYONGA KISA STRESS ZA MAPENZI

6.UKIZOEA MALAYA GHARAMA YAKO KUU NI KULIPIA HELA YA TENDO ,HAKUNA HELA YA SALUNI,SJUI VOCHA AU MAMA ANAUMWA

7.UKIZOEA MALAYA HUTAKUWA NA STRESS ZA KUTOMBEWA

ONGEZEA MENGINE UNAYOJUA KUHUSU WAPENDA MALAYA AU WATU WA KATAA NDOA
Kataa ndoa

Ndoa ni utapeli

Ndo ni uharamia

Ndoa ni uhaini

dronedrake unasemaje kuhusu hili
 
Sababu kiuhalisia hao wanawake wanaoumia moyoni kinachowaumiza sana sana ni ile tu kufikiria kwamba "jamii itanichukuliaje/itanionaje" na si kwamba eti ni kweli wote wanataka ndoa
SI KWELI

Wanawake wanataka ndoa sana. Sijaua umri wako ila wanaume wengi ambao wanaingiza kipato au wana future wanasumbuliwa sana na wanawake wawaoe

Ukiwa nao kwenye mahusiano kuulizwa baby utanioa lini au lini utakuja kujitambulisha kwetu utaulizwa sana. Ndio ujue mwanamke na kuolewa ni chupi na tako
 
SI KWELI

Fuatilia ujionee hao unaowaona ni feminists nao wanajifariji tu
Hivi kwanini mnaforce kuwasemea watu hisia zao yani kwanini mnalazimisha mawazo yenu ninyi juu ya hao wanawake ndio yawe sahihi, narudia kwa wazungu mwanamke kutokuolewa ni kitu cha kawaida na wala hutasikia jamii ikimsimanga kila mtu anaheshimu maamuzi yake, na jamii za kiafrika si zifanye hivyo badala ya kujifanya mnawasemea wanawake si muwaache wawe huru kwanini mnaogopa
 
Hivi kwanini mnaforce kuwasemea watu hisia zao yani kwanini mnalazimisha mawazo yenu ninyi juu ya hao wanawake ndio yawe sahihi
Hatuwasemei mkuu wao wenyewe huwa wanasema.

Siku ukisikia wanawake wenyewe wanaongea ndio utajithibitishia
 
SI KWELI

Wanawake wanataka ndoa sana. Sijaua umri wako ila wanaume wengi ambao wanaingiza kipato au wana future wanasumbuliwa sana na wanawake wawaoe

Ukiwa nao kwenye mahusiano kuulizwa baby utanioa lini au lini utakuja kujitambulisha kwetu utaulizwa sana. Ndio ujue mwanamke na kuolewa ni chupi na tako
Duuh sasa mbona unaongea kile kile nilichotoka kukufafanulia ni kwamba hujaelewa au umeamu tu kujitoa ufahamu, sikatai kwamba wanawake ndio wanataka sana ndoa ila nilichoongelea mimi ni sababu inayowafanya watake sana hizo ndoa, ni hii mitazamo ya kijamii dhidi ya mwanamke ambaye hajaolewa ndio inafanya wanawake waogope kutokuolewa au kuachika lakini si kwamba wote wanazitamani hizo ndoa sincerely from the their hearts

Hata wanaume jamii ingewashikia bango kuhusu kuoa kama inavyowashikia wanawake, basi amini kwamba hata mwanaume ambaye hajaoa naye angekuwa na stress za kukosa ndoa vile vile, ni vile tu jamii za kiafrika zimeamua kumfavor mwanaume kwenye suala la marriage perception kitu ambacho hakileti uhalisia

Siku hizo mindests zikiondoka na mwanamke akaachwa huru kama mwanaume aamue kuolewa au kutokuolewa na jamii ikaheshimu maamuzi yake na kuonekana ni kitu cha kawaida, basi wanaume hamtapata tena jeuri ya kuwatishia wanawake ndoa na kuifanya kuwa fimbo ya kuwachapia kama mnavyofanya hivi sasa, ila ndio hamtaki kuziachilia hizo mindets sababu mnajua kitakachotokea
 
Wanasema hivyo kwa sababu wanaogopa wasipoolewa jamii itawatukana tu
Mkuu huwezi kushindana na kitu ambacho kipo naturally yaani wameumbwa hivyo. Sababu zako unazotoa sijui jamii itawaonaje sio sababu. Kuolewa ipo kwenye akili zao tangu wazaliwe
 
Sasa tunashindwa kuelewana wapi mkuu

Wewe mwenyewe umekiri kuwa wanataka sana ndoa
Wamekuwa forced kutaka sana hizo ndoa, usijifanye hauelewi, nimegundua napoteza muda kubishana na wewe maana huna hata hoja unaleta mihemko tu
 
Wamekuwa forced kutaka sana hizo ndoa, usijifanye hauelewi, nimegundua napoteza muda kubishana na wewe maana huna hata hoja unaleta mihemko tu
Hawako forced mkuu wameumbwa hivyo

Kumbe tulikuwa tunabishana mimi sikujua hilo 🤣
 
Mkuu huwezi kushindana na kitu ambacho kipo naturally yaani wameumbwa hivyo. Sababu zako unazotoa sijui jamii itawaonaje sio sababu. Kuolewa ipo kwenye akili zao tangu wazaliwe
Kama ni kushindana na nature basi hata wanaume hawawezi kushindana nayo which means hata wao wanaihitaji sana hiyo ndoa, sababu mwanamke anaolewa na mwanaume (ambaye eti yeye anaonekana hahitaji ndoa, sasa anaoa ili iweje yani)

Hakuna nature ya kipuuzi namna hiyo ambayo inasema ndoa ni muhimu kwa mwanamke pekee na si kwa mwanaume, na kama ni uhitaji wa kuwa na life partner hilo linawezekana hata bila ndoa, ila tu ndio wanawake wanaogopa wataonekana malaya

Uhalisia ni either ndoa iwe muhimu kwa wote au isiwe muhimu kwa wote na siyo iwe muhimu kwa mmoja ila kwa mwingine isiwe muhimu hicho kitu hakipo, ni jamii za kiafrika tu zenye watu wasiojua kureason na kutumia logic ya kawaida, ndio zinalazimisha mitazamo isiyo na uhalisia kama hiyo
 
Hawako forced mkuu wameumbwa hivyo

Kumbe tulikuwa tunabishana mimi sikujua hilo [emoji1787]
Kama waliumbwa hivyo kwanini kwenye jamii nyingine haiko hivyo kwanini huo mtazamo usiwe universal

Nimesema nipe mifano ya wanawake wa kizungu wanaotukanwa na wenzao kwa kutokuolewa hujanipa

Unaelewa maana ya kubishana mkuu
 
Kama waliumbwa hivyo kwanini kwenye jamii nyingine haiko hivyo kwanini huo mtazamo usiwe universal

Nimesema nipe mifano ya wanawake wa kizungu wanaotukanwa na wenzao kwa kutokuolewa hujanipa

Unaelewa maana ya kubishana mkuu
Kwani hapa Tanzania mwanamke gani katukanwa kwa sababu ya kutoolewa?

Mkuu ukitaka kujua mitazamo ya watu duniani kutia ndani hao wazungu kuhusu ndoa tembelea mitandao kama quora

Katafute mada za ndoa. Ndio utajua huo mtazamo ni universal sio kutukanwa ila wanawake wanafunguka jinsi wamekuwa wakitamani ndoa
 
Kwani hapa Tanzania mwanamke gani katukanwa kwa sababu ya kutoolewa?

Mkuu ukitaka kujua mitazamo ya watu duniani kutia ndani hao wazungu kuhusu ndoa tembelea mitandao kama quora

Katafute mada za ndoa. Ndio utajua huo mtazamo ni universal sio kutukanwa ila wanawake wanafunguka jinsi wamekuwa wakitamani ndoa
Hapa afrika tamaduni zetu zinamlazimisha mwanamke kuolewa tena siyo tu kuolewa bali kuolewa mapema, yani wamekewa na umri kabisa kwamba kuna umri ukifika mwanamke asipoolewa, hata kama hayuko tayari basi huyo ni malaya tu

Mkuu mimi ni mtumiaji mzuri sana wa quora, ukiniambia kwamba wanawake wanasema wanakuwa wapweke kwa kukosa ndoa basi kaa ukijua hiyo iko hata kwa wanaume maana upweke hauwakuti wanawake tu, hata wanaume pia wapo wanaokiri kuwa ni wapweke kwa sababu ya kukosa ndoa so kote ni sawa tu

Lakini kwa wanawake wa kiafrika it's not all about upweke ila pia na mitazamo ya kijamii inachangia, kwa wazungu huko kujuta kwao wala siyo kwa sababu ya jamii zao na pia wanaojuta siyo wengi wapo wanaofurahia hayo maamuzi yao, ila huku kwetu tunalazimisha kwamba wanawake wote wasioolewa wanajuta
 
Back
Top Bottom