Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kama unashauri wanaume wasiwasemee wanawake , sasa kwa nini hizo juhudi za kufanya jamii isichukie vibya wanawake kutoolewa, wanawake wasizifanye mwenyewe bila kuwahusisha wanaume?
 
Hakuna wanawake wana mihemko na ndoa kama wazungu ,sijui unaongelea wazungu wapi japo ni kwel hawana negative perception kwenye jamii yao wasiolewa.
 
Adui mwanamke ni mwanamke mkuu.
 
Ukiacha ngono, tu-pesa pesa na tu-vitu vitu kijana wa kiume hana namna nyingine ya kuanzisha na kukuza uhusiano.

Mtoto wa kike naye anaona ‘asitumiwe’ bure —uhusiano ni bills. Uchumi ndio unaamua ‘afya’ ya mahusiano.

Halafu tunajiuliza kwa nini mahusiano hayafiki mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…