Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
ikiwezekana haya maneno yawekwe kwenye katiba mpya ili kutilia mkazo hili sualaHaya ni maneno yanayozuka tu ..
Kama maneno mengine...
Ni kama "ndoa ndoano"
Yatapita tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikiwezekana haya maneno yawekwe kwenye katiba mpya ili kutilia mkazo hili sualaHaya ni maneno yanayozuka tu ..
Kama maneno mengine...
Ni kama "ndoa ndoano"
Yatapita tu..
Kumbe binti Maua upo😃🤔
Unjani wenaVijana oeni aiseeh
😅 uyazi ukuthi umshado awuyona imfunekoVijana oeni aiseeh
Nimekumiss kichaa wangu ila nimeziriwa na hao vichaa wqngu wengineKumbe binti Maua upo😃🤔
Tupo mbona, SI una jua meeting point ili fungwa😃😂😂Nimekumiss kichaa wangu ila nimeziriwa na hao vichaa wqngu wengine
Aha sijajua poleni nilikuwa busyTupo mbona, SI una jua meeting point ili fungwa😃😂😂
Poleni sanaaa.
Halafu we dogo niligundua mda kwamba ni 🌈 kwa nini unaigiza humu uonekane ni kidume cha mbegu.Poleni sanaaa.
Tutukaneni tusi lolotee ila HATUOI
Nyie straight ambao mnatukana mashoga ndio NDOA ZINAWATESA BALAAA
#YNWA
Umetisha sanaaaHalafu we dogo niligundua mda kwamba ni 🌈 kwa nini unaigiza humu uonekane ni kidume cha mbegu.
Nipo vacation mie.. mbuzi yangu vipi 🙂🙂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]WAPIGA NYETO KAMA MIE KUOA NI NGUMU
MAANA NNACHONUNUA KWA MAMILIONI TAYARI NNACHO MKONONI
Kama unashauri wanaume wasiwasemee wanawake , sasa kwa nini hizo juhudi za kufanya jamii isichukie vibya wanawake kutoolewa, wanawake wasizifanye mwenyewe bila kuwahusisha wanaume?Hivi kwanini mnaforce kuwasemea watu hisia zao yani kwanini mnalazimisha mawazo yenu ninyi juu ya hao wanawake ndio yawe sahihi, narudia kwa wazungu mwanamke kutokuolewa ni kitu cha kawaida na wala hutasikia jamii ikimsimanga kila mtu anaheshimu maamuzi yake, na jamii za kiafrika si zifanye hivyo badala ya kujifanya mnawasemea wanawake si muwaache wawe huru kwanini mnaogopa
Hakuna wanawake wana mihemko na ndoa kama wazungu ,sijui unaongelea wazungu wapi japo ni kwel hawana negative perception kwenye jamii yao wasiolewa.Kama ni kushindana na nature basi hata wanaume hawawezi kushindana nayo which means hata wao wanaihitaji sana hiyo ndoa, sababu mwanamke anaolewa na mwanaume (ambaye eti yeye anaonekana hahitaji ndoa, sasa anaoa ili iweje yani)
Hakuna nature ya kipuuzi namna hiyo ambayo inasema ndoa ni muhimu kwa mwanamke pekee na si kwa mwanaume, na kama ni uhitaji wa kuwa na life partner hilo linawezekana hata bila ndoa, ila tu ndio wanawake wanaogopa wataonekana malaya
Uhalisia ni either ndoa iwe muhimu kwa wote au isiwe muhimu kwa wote na siyo iwe muhimu kwa mmoja ila kwa mwingine isiwe muhimu hicho kitu hakipo, ni jamii za kiafrika tu zenye watu wasiojua kureason na kutumia logic ya kawaida, ndio zinalazimisha mitazamo isiyo na uhalisia kama hiyo
Adui mwanamke ni mwanamke mkuu.Ndoa na kuoa ni ubatili mkubwa kwa sababu mwanamke hana permanency na commitment, na pia mwanamke anaeingia kwenye ndoa kwa individual interests hana mutually inclusive benefits .
Kwa asili pia mwanamke ni adui wa mwanaume, anakuwa rafiki kama endapo tu ana manufaa anapata.
Pia wanawake wengi wanazaliwa ni wachawi. Na pia akili zao zinawaombea wanaume wafe haraka. Women are no permanent friends with men.
Bora shetani halisi kuliko shetani anaeishi ndani ya mwanamke.
I see them like rattle snakes