Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hivi kwanini mnaforce kuwasemea watu hisia zao yani kwanini mnalazimisha mawazo yenu ninyi juu ya hao wanawake ndio yawe sahihi, narudia kwa wazungu mwanamke kutokuolewa ni kitu cha kawaida na wala hutasikia jamii ikimsimanga kila mtu anaheshimu maamuzi yake, na jamii za kiafrika si zifanye hivyo badala ya kujifanya mnawasemea wanawake si muwaache wawe huru kwanini mnaogopa
Kama unashauri wanaume wasiwasemee wanawake , sasa kwa nini hizo juhudi za kufanya jamii isichukie vibya wanawake kutoolewa, wanawake wasizifanye mwenyewe bila kuwahusisha wanaume?
 
Kama ni kushindana na nature basi hata wanaume hawawezi kushindana nayo which means hata wao wanaihitaji sana hiyo ndoa, sababu mwanamke anaolewa na mwanaume (ambaye eti yeye anaonekana hahitaji ndoa, sasa anaoa ili iweje yani)

Hakuna nature ya kipuuzi namna hiyo ambayo inasema ndoa ni muhimu kwa mwanamke pekee na si kwa mwanaume, na kama ni uhitaji wa kuwa na life partner hilo linawezekana hata bila ndoa, ila tu ndio wanawake wanaogopa wataonekana malaya

Uhalisia ni either ndoa iwe muhimu kwa wote au isiwe muhimu kwa wote na siyo iwe muhimu kwa mmoja ila kwa mwingine isiwe muhimu hicho kitu hakipo, ni jamii za kiafrika tu zenye watu wasiojua kureason na kutumia logic ya kawaida, ndio zinalazimisha mitazamo isiyo na uhalisia kama hiyo
Hakuna wanawake wana mihemko na ndoa kama wazungu ,sijui unaongelea wazungu wapi japo ni kwel hawana negative perception kwenye jamii yao wasiolewa.
 
Ndoa na kuoa ni ubatili mkubwa kwa sababu mwanamke hana permanency na commitment, na pia mwanamke anaeingia kwenye ndoa kwa individual interests hana mutually inclusive benefits .

Kwa asili pia mwanamke ni adui wa mwanaume, anakuwa rafiki kama endapo tu ana manufaa anapata.


Pia wanawake wengi wanazaliwa ni wachawi. Na pia akili zao zinawaombea wanaume wafe haraka. Women are no permanent friends with men.

Bora shetani halisi kuliko shetani anaeishi ndani ya mwanamke.

I see them like rattle snakes
Adui mwanamke ni mwanamke mkuu.
 
Ukiacha ngono, tu-pesa pesa na tu-vitu vitu kijana wa kiume hana namna nyingine ya kuanzisha na kukuza uhusiano.

Mtoto wa kike naye anaona ‘asitumiwe’ bure —uhusiano ni bills. Uchumi ndio unaamua ‘afya’ ya mahusiano.

Halafu tunajiuliza kwa nini mahusiano hayafiki mbali.
 
Back
Top Bottom