Ukiacha ngono, tu-pesa pesa na tu-vitu vitu kijana wa kiume hana namna nyingine ya kuanzisha na kukuza uhusiano.
Mtoto wa kike naye anaona ‘asitumiwe’ bure —uhusiano ni bills. Uchumi ndio unaamua ‘afya’ ya mahusiano.
Halafu tunajiuliza kwa nini mahusiano hayafiki mbali.
Tuangalie takwimu, mfano marekani, asilimia 78 ya talaka zinaanzishwa na wanawake, kwenye mahusiano mengi wanawake ndo Huwa wanaacha waume / boyfriends wao JoanahUzi wako umeenda direct kwamba jinsia ke ndio source ya mahusiano kutofika mbali ....which is not fair
Kabisa mwambie huyoTuangalie takwimu, mfano marekani, asilimia 78 ya talaka zinaanzishwa na wanawake, kwenye mahusiano mengi wanawake ndo Huwa wanaacha waume / boyfriends wao Joanah
23Umri wako?
Uchumba suguHizo zote ni matatizo ya Uchumba wa muda mrefu usi isingizie ndoa
Hujakomaa Bado
Hakika...Mapenzi ni biashara..
Ila ndoa sio biashara...
Ndio sumu.Uchumba sugu
Hawajawahi kuelewa
Sure mkuu 🤝Ndio sumu.
Pamoja sana mkuu. I got you!Ndoa ni maisha, japo nimepambana sana katika mahusiano lakini ndoa lazima.
Ndoa humpa mtu ustawi bora wa maisha na utulivu.
Ndoa huweka msingi wa maisha halisi ya kijamii duniani.
Ndoa ndio msingi halali wa mwendelezo wa vizazi vya mwanadamu.
Kukataa ndoa ni chukizo na ni "kumpinga Mungu'
Vijana tuoe/olewa na wale wanaoendana na sisi kimtazamo, uchumi, dini na upendeleo.