Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ndoa ni maisha, japo nimepambana sana katika mahusiano lakini ndoa lazima.

Ndoa humpa mtu ustawi bora wa maisha na utulivu.

Ndoa huweka msingi wa maisha halisi ya kijamii duniani.

Ndoa ndio msingi halali wa mwendelezo wa vizazi vya mwanadamu.

Kukataa ndoa ni chukizo na ni "kumpinga Mungu'

Vijana tuoe/olewa na wale wanaoendana na sisi kimtazamo, uchumi, dini na upendeleo.
 
Pamoja sana mkuu. I got you!
 
Back
Top Bottom