Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ke ni wale wale tangu na tangu isipokuwa hawa unawahukumu kihivyo sababu tu ya utandawazi.Shalom
Wale mabaharia wenzangu mtanielewa kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanandoa fake, wake za watu ukigusa tu imo.
Kwa sasa ndoa ni hekalu la majizi, majambazi, na mafedhuli wa hisia.
Kataa ndoa kwa akili n nguvu zote
Wadiz
Nimerudi hewani
Zama zimebadilika mzee wangu hii batch wa mabinti wa kuanzia 95 hivi ni ya kwenda nayo kitaalamuVijana mnaogopa sana aisee, shida nini mpaka hamjiamini kiasi hicho?
Baada ya muda ya kuishi nae hio ni ndoa...unalo!Mimi kama mwanaume nitaishi na mwanamke na kujenga nae familia. Lakini ule mkataba wa kitapeli uliopewa jina la ndoa kamwe siwezi kusaini.
Hapo mwanamke atahitajika kuthibitisha kama mmeishi kwa huo muda kwaiyo notakua na nafasi ya kupiga bao la mkono mahakamani ila kile cheti cha ndoa mwanamke akikiweka tu mezani mwanaume hutoki.Baada ya muda ya kuishi nae hio ni ndoa...unalo!
95 ni mabinti???Zama zimebadilika mzee wangu hii batch wa mabinti wa kuanzia 95 hivi ni ya kwenda nayo kitaalamu
Kuna miaka kadhaa ukisha ishi nae sheria inamtambua ni mkeoHapo mwanamke atahitajika kuthibitisha kama mmeishi kwa huo muda kwaiyo notakua na nafasi ya kupiga bao la mkono mahakamani ila kile cheti cha ndoa mwanamke akikiweka tu mezani mwanaume hutoki.
""wake za watu ukigusa tu imo. ""Vijana mnaogopa sana aisee, shida nini mpaka hamjiamini kiasi hicho?
NAKAZIAKataa ndoa kwa akili n nguvu zote
Bado sijaoa mkuu, ila huu woga ni wa kiwango kikubwa aisee.""wake za watu ukigusa tu imo. ""
vijana mnagongewa sanaa aisee, shida nini mpaka mnatombew(a) kiasi hicho?
#YNWA