Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Shalom
Wale mabaharia wenzangu mtanielewa kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanandoa fake, wake za watu ukigusa tu imo.

Kwa sasa ndoa ni hekalu la majizi, majambazi, na mafedhuli wa hisia.

Kataa ndoa kwa akili n nguvu zote

Wadiz
Nimerudi hewani
Ke ni wale wale tangu na tangu isipokuwa hawa unawahukumu kihivyo sababu tu ya utandawazi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Baada ya muda ya kuishi nae hio ni ndoa...unalo!
Hapo mwanamke atahitajika kuthibitisha kama mmeishi kwa huo muda kwaiyo notakua na nafasi ya kupiga bao la mkono mahakamani ila kile cheti cha ndoa mwanamke akikiweka tu mezani mwanaume hutoki.
 
Hapo mwanamke atahitajika kuthibitisha kama mmeishi kwa huo muda kwaiyo notakua na nafasi ya kupiga bao la mkono mahakamani ila kile cheti cha ndoa mwanamke akikiweka tu mezani mwanaume hutoki.
Kuna miaka kadhaa ukisha ishi nae sheria inamtambua ni mkeo
 
Ndoa zilikuwepo, zipo na zitaendelea kuwepo. Ambao hamtaki kuingia ndoani msiingie, hamlazimishwi.
 
NDOA NI UTAPELI: HUYO MWANAMKE ULIYEMUOA SIO KWAMBA ANAKUPENDA

Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa.

Wazungu wanasema women marry the available men. When it comes to women, they settle for who's ready not who they love.

Huyo mwanamke uliyemuoa sio kwamba anakupenda ni wewe tu ulikuwa na kimbelembele cha kumuoa ulikuwa available man.

Love and marriage is two big gap when it comes to women

Mwanamke kuwa tayari kuolewa nawe sio kwamba anakupenda ni utapeli tu.

Yule mwanaume aliyempenda lakini hakuolewa naye atakuchapia sana mkeo.
 
Back
Top Bottom