towashi wa kushi
JF-Expert Member
- May 15, 2024
- 332
- 729
Hiyo ni yako sisi haituhusu. Mi nina miaka 16 sasa kwenye ndoa. Ni raha na furaha Mujarabu, ameshamaliza kumuandaa mtoto wetu na sasa anajiandaa hapa twende zetu Kanisani.Ni UKWELI MTUPU! Juzi mwanamke wangu amenikimbia. NDOA NI UTAPELI! UTAPELI! SITAKI KUSIKIA TENA MAMBO YA NDOA. IT IS VERY VERY DANGEROUS. MARRIAGE IS EVIL! NI UPUUZI MTUPU. Ndoa za kweli zilikuwa zamani. Siku hizi ni utapeli tu!
Kwa hiyo huyo kicheche wako aliyekukimbia ndiyo representative sample ya kuhukumia taasisi nzima ya ndoa? Ni asilimia ngapi waliooa wamekimbiwa kama ulivyokimbiwa wewe? Mnakurupuka kuoa milupo huko hata bila kufahamiana vizuri halafu yakiwakuta ya kuwakuta mnaanza kutoa hukumu za jumla za kimihemko.Ni UKWELI MTUPU! Juzi mwanamke wangu amenikimbia. NDOA NI UTAPELI! UTAPELI! SITAKI KUSIKIA TENA MAMBO YA NDOA. IT IS VERY VERY DANGEROUS. MARRIAGE IS EVIL! NI UPUUZI MTUPU. Ndoa za kweli zilikuwa zamani. Siku hizi ni utapeli tu!
Umeandika kwa majidai wewe jamaa.😂😂😂😂🙏Hiyo ni yako sisi haituhusu. Mi nina miaka 16 sasa kwenye ndoa. Ni raha na furaha Mujarabu, ameshamaliza kumuandaa mtoto wetu na sasa anajiandaa hapa twende zetu Kanisani.
Uji nani amnyweshe?Tutampa mrija ajihudumie mwenyewe.Na kuhusu pampasi asahau.Tutachana mashati yake ndiyo yawe mbadala wa pampasi.Tutamfanyia unyambilisi hadi watakaokuwa wanatamani tabia zake wabane ngenge.Tutawaita "Bana Ngengee"!Kijana usijazwe ujinga na wazungu, oa upade familia. Nyie ndiyo huwa mnasumbua ndugu zenu umri ukishaenda. Usifikiri utakuwa na nguvu hizo ukizo nazi hadi uzeeni. Kuna siku utanyweshwa uji kitandani na kuvakishwa pampasi.
Bado una nafasi ya kutengeneza maisha yako hasa ya uzeeni.
wajanja wanaamkaHii kitu ya kuitwa ndoa inazidi kustukiwa, ni suala la muda tu.... wanawake tafuteni kazi nyingine.
Hahaaaaa, hawa vijana wanasumbua sana. Akiachika yeye anakuja jiliza na kutaka msaada huku JF. Kuachana kwenye ndoa kupo toka miaka na maisha yanasonga. Yeye anaachwa wengine tunaenjoy tu. Nakunywa chai hapa mezani sasa yeye anajindaa twende church.Umeandika kwa majidai wewe jamaa.😂😂😂😂🙏
Ni utoto tu utakuwa wa huyo binti.Wawe wanakuja tunawapa mbinu za kivita.Waandae hata kreti za soda ngumu za kuibulia madini kichwani.Wanafeli wapi hawa watu wa kizazi hiki?Kwa hiyo huyo kicheche wako aliyekukimbia ndiyo representative sample ya kuhukumia taasisi nzima ya ndoa? Ni wangapi waliooa wamekimbiwa kama ulivyokimbiwa wewe?
Wewe jamaa kwa kuwapeleka chaka wenzako haujambo.Huwa unanikumbusha maninja fulani shuleni walijiita wazee wa "Chaka la Dogs"!wajanja wanaamka
wajinga wanazidi kupigwa
NDOA NI UTAPELI
Na kupiga punyeto ndio dili? We kiri tu u maskini, huna kipato cha kutosha kutunza mwanamke pia una matatizo ya kiuanaume mkuu usaidiwe. Wazee wanasema mficha uchi hazai.wajanja wanaamka
wajinga wanazidi kupigwa
NDOA NI UTAPELI
Una hoja shida ni kwamba umetumia Lugha ngumu mno na kuna maneno makali sana mfano kimbelembele. Huwezi kuniita mimi kimbelembele mzee kwa maumivu yako😀Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa.
Wazungu wanasema women marry the available men. When it comes to women, they settle for who's ready not who they love.
Huyo mwanamke uliyemuoa sio kwamba anakupenda ni wewe tu ulikuwa na kimbelembele cha kumuoa ulikuwa available man.
Love and marriage is two big gap when it comes to women
Mwanamke kuwa tayari kuolewa nawe sio kwamba anakupenda ni utapeli tu.
Yule mwanaume aliyempenda lakini hakuolewa naye atakuchapia sana mkeo.
SINUNUI TAPELINa kupiga punyeto ndio dili? We kiri tu u maskini, huna kipato cha kutosha kutunza mwanamke pia una matatizo ya kiuanaume mkuu usaidiwe. Wazee wanasema mficha uchi hazai.
Hapana, Natoa Somo na wengi sasa wanafungua akiliWewe jamaa kwa kuwapeleka chaka wenzako haujambo.Huwa unanikumbusha maninja fulani shuleni walijiita wazee wa "Chaka la Dogs"!
Hoja yake ni denied au argued!Una hoja shida ni kwamba umetumia Lugha ngumu mno na kuna maneno makali sana mfano kimbelembele. Huwezi kuniita mimi kimbelembele mzee kwa maumivu yako😀
Huyo mzee wa Local Government is always local ndiyo msanii kabisa.Sijui kashiba matoke na senene za wapi?Halafu kapotea humu JF.Au wamemuhamishia Mabama au Migwenhe kule Tabora?🤣🤣🤣Hapana, Natoa Somo na wengi sasa wanafungua akili
Ahsante Liverpool VPN
Umeandika kinyonge sana muheshimiwa. Will you marry me?🤣wana kazi sana
Wacha weeeeee kwahiyo hata Baba yako alikuwa Boya?SINUNUA TAPELI
SILEI JIZI
SIHUDUMII JAMBAZI
NDOA NI WIZI, NDOA NI UTAPELI
MABOYA PEKEE NDIYO WANAPIGWA
WAJANJA TUMESANUKA