Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ni UKWELI MTUPU! Juzi mwanamke wangu amenikimbia. NDOA NI UTAPELI! UTAPELI! SITAKI KUSIKIA TENA MAMBO YA NDOA. IT IS VERY VERY DANGEROUS. MARRIAGE IS EVIL! NI UPUUZI MTUPU. Ndoa za kweli zilikuwa zamani. Siku hizi ni utapeli tu!
Hiyo ni yako sisi haituhusu. Mi nina miaka 16 sasa kwenye ndoa. Ni raha na furaha Mujarabu, ameshamaliza kumuandaa mtoto wetu na sasa anajiandaa hapa twende zetu Kanisani.
 
Ni UKWELI MTUPU! Juzi mwanamke wangu amenikimbia. NDOA NI UTAPELI! UTAPELI! SITAKI KUSIKIA TENA MAMBO YA NDOA. IT IS VERY VERY DANGEROUS. MARRIAGE IS EVIL! NI UPUUZI MTUPU. Ndoa za kweli zilikuwa zamani. Siku hizi ni utapeli tu!
Kwa hiyo huyo kicheche wako aliyekukimbia ndiyo representative sample ya kuhukumia taasisi nzima ya ndoa? Ni asilimia ngapi waliooa wamekimbiwa kama ulivyokimbiwa wewe? Mnakurupuka kuoa milupo huko hata bila kufahamiana vizuri halafu yakiwakuta ya kuwakuta mnaanza kutoa hukumu za jumla za kimihemko.

Marriage (Holly Matrimony) is a beautiful thing! ❤️❤️❤️
 
Kijana usijazwe ujinga na wazungu, oa upade familia. Nyie ndiyo huwa mnasumbua ndugu zenu umri ukishaenda. Usifikiri utakuwa na nguvu hizo ukizo nazi hadi uzeeni. Kuna siku utanyweshwa uji kitandani na kuvakishwa pampasi.

Bado una nafasi ya kutengeneza maisha yako hasa ya uzeeni.
Uji nani amnyweshe?Tutampa mrija ajihudumie mwenyewe.Na kuhusu pampasi asahau.Tutachana mashati yake ndiyo yawe mbadala wa pampasi.Tutamfanyia unyambilisi hadi watakaokuwa wanatamani tabia zake wabane ngenge.Tutawaita "Bana Ngengee"!
 
Cha ajabu wasio na ndoa ndio wamekua vinara wa kujadili mambo ya ndani ya ndoa akuizi....🤣
 
Umeandika kwa majidai wewe jamaa.😂😂😂😂🙏
Hahaaaaa, hawa vijana wanasumbua sana. Akiachika yeye anakuja jiliza na kutaka msaada huku JF. Kuachana kwenye ndoa kupo toka miaka na maisha yanasonga. Yeye anaachwa wengine tunaenjoy tu. Nakunywa chai hapa mezani sasa yeye anajindaa twende church.

Yeye anipende asinipende ila usiku nimepiga viwili, kaamka asubuhi hii kuandaa chai twende church. Kaniamsha, nimeenda kuoga, nimejiandaa nakunuwa chai ili twende Kanisani. Anioende asinipende ila kanizalia watoto 4, hao watoto watanipenda Baba yao.

Achana nao hawa wapuuzi na maskini wanaojiokoteza kimaisha wanaokuja na blah blah za ndoa kila siku. Ndoa tamu asikwambie mtu.
 
Kwa hiyo huyo kicheche wako aliyekukimbia ndiyo representative sample ya kuhukumia taasisi nzima ya ndoa? Ni wangapi waliooa wamekimbiwa kama ulivyokimbiwa wewe?
Ni utoto tu utakuwa wa huyo binti.Wawe wanakuja tunawapa mbinu za kivita.Waandae hata kreti za soda ngumu za kuibulia madini kichwani.Wanafeli wapi hawa watu wa kizazi hiki?
 
Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa.

Wazungu wanasema women marry the available men. When it comes to women, they settle for who's ready not who they love.

Huyo mwanamke uliyemuoa sio kwamba anakupenda ni wewe tu ulikuwa na kimbelembele cha kumuoa ulikuwa available man.

Love and marriage is two big gap when it comes to women

Mwanamke kuwa tayari kuolewa nawe sio kwamba anakupenda ni utapeli tu.

Yule mwanaume aliyempenda lakini hakuolewa naye atakuchapia sana mkeo.
Una hoja shida ni kwamba umetumia Lugha ngumu mno na kuna maneno makali sana mfano kimbelembele. Huwezi kuniita mimi kimbelembele mzee kwa maumivu yako😀
 
Na kupiga punyeto ndio dili? We kiri tu u maskini, huna kipato cha kutosha kutunza mwanamke pia una matatizo ya kiuanaume mkuu usaidiwe. Wazee wanasema mficha uchi hazai.
SINUNUI TAPELI
SILEI JIZI
SIHUDUMII JAMBAZI

NDOA NI WIZI, NDOA NI UTAPELI
MABOYA PEKEE NDIYO WANAPIGWA
WAJANJA TUMESANUKA
 
Back
Top Bottom