Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hoja yake ni denied au argued!
Hoja yake ni hoja nzuri tu and it can't be denied maana tunaona wanawake wakifanya hayo wazi wazi.
Kuna jamaa mmoja tupo nae huku chaka alioa dada ambaye tayari ana mtoto akampa maisha. Baadae anakuja kugundua Kumbe Kuna jamaa ana mega halafu hata sio yule aliyezaa nae. Hapo hata 100 yaani anamega Bure kabisa.
 
Inauma sana.Anamega kisela?Halipi hata ya uchakavu wa godoro?Halooo!
 
Iko hivyo mkuu hata wanawake wenyewe huwa wanasema
 
Kwa hiyo tuwafurushe majumbani mwetu au unashauri nini ndugu mnasihi?Acheni kujipa mawazo yaliyo hasi kila muda.Mtakufa kwa sonona.Yafanyeni maisha yenu yawe mepesi.Kila muda mnatafuta kasoro tu badala ya kujipa matumaini.Kifo ki malangoni penu.
Kama mwanaume ameamua kuishi na tapeli aendelee naye tu
 
Matatizo ya kuwa kwenye mapenzi na mtu ilimradi tu na ww uonekane ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika
 
Duuuh
 
Kumbe Baba yako anachapiwa Mama yako na wewe unajua. Sasa kwanini usiende kumwambia Baba yako kama unajua Mama yako anatumika nje sababu Baba yako alikuwa available ila hakupendwa

Samahani kwa mfano wangu....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…