Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mkuu amini nakuambia , Hata huyo mtoto wa Kwanza sio wako .
 
Ndipo nikaamua kuwaita wazazi wake, viongozi wa dini serikali na wazee wa kimila,akaulizwa aliyempatia mimba,ndipo alipomtaja kuwa ni mwalimu wa kwaya kanisani kwao aliyekuwa amekuja kanisani kwa muda sasa hayupo.
Hawa walimu wa kwaya ifike wakati wafundishe nyimbo wakiwa nyuma ya waimbaji maana wamezidi sasa
 
Mkeo anakupangia namna ya kumfanya na wewe unakubali?
Mnawasingizia wanawake kwa mengi, kwa hiyo sentensi ya kwanza hapo juu wewe bado sio mwanaume.
 


Hii ni hadithi tu au story ya kutunga, sioni uhalisia hata kidogo, hata nukta ya feelings za ukweli katika story hii, yaani umeandika easily, with no pain and no shock, kwa sie watalaam wa hisia na mambo, hii ni chai kabisa, tukio kubwa kama hilo alafu uko no stress, uongo huu.
 
Kwann Sasa umekimbia kwako?
Au umepanga ?.

Ubaya ni ubaya, kama hamna kitu chake chochote, huyo alitakiwa umfurumushe.

Tena unakomaa tu kua Kwa Sasa huna Imani na mtoto wa kwanza piaa.

Tayari
 
Duuh,yaani unayejulikana kwao,uvae koti jua Kali,mgeni avae tshirti!Kimbia
 
Yeye anasemaje mkuu.. kwamba umsamehe mlee mimba au naye katekewa hajui chakufanya?

Familia moja hatunayo tayari!
 
sio mimi mkuu,ni jamaa yangu,ila nimeona nikilifikisha kupitia yeye itaonekana chai,hivyo mimi nikaamua nivae uhusika. Mimi bado sijaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…