Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Nmesema nataka mtu 😹😹Hakuna wa kukurushia mawe, wewe una hela? Nani akuoe wewe kapuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesema nataka mtu 😹😹Hakuna wa kukurushia mawe, wewe una hela? Nani akuoe wewe kapuku
Ehhh baba wa research 😹😹😹😹hakuna timu kataa ndoa, wote wana wake zao na waneufyata, wanawachora tu huku mtandaoni,,,, Au wale wa kujiita jobless, hakuna kitu kama hiko, kila mtu ako na harakati zake japo vipato havilingani,,,, ishi nayo
Waowaji jamii forum hakuna, unaowaona Mtaani kwenu ndio hao hao waliopo jamii forum....pambana mkuuNmesema nataka mtu 😹😹
Nimekuja kugundua team kataa ndoa wote hawana hela🤣🤣🤣🤣🤣
Nirusheni tu mawe nijenge ghorofa me sijali.....
Nomadix
Intelligent businessman
Bolotoba
holoholo and 100 others[/USER
Wanirushe TU maweAsante sana na vizuri ume wa tag kabisa kama Kuna anebishana na hili ajitokeze
Nakuunga mkono mara100000 vijana wa ovyooooh Kwa majina tunawahifadhiSio hela tu wengine hawana nguvu za kiume ndo wanatafuta company.
Wengine waliharibu ndoto za mabinti wa watu, wale mabinti wakala viapo tuone kama ataoa, output ndo inaonekana humu mitandaoni, alafu wao wanafikiri ni akili zao.
Ukichanganya na matatizo sugu mwingine ashajiona hafai, watu watafute solution za matatizo yao waache kupinga asili, asili utaipingaje kama wewe sio towashi si unatafuta mabalaa...
Karibu Love connect 😂Wanirushe TU mawe
Mungu ametupa baraka za ndoa Kisha wao waikatae kama naninoooo puuuh.........mbavuuuhh zao haoWanirushe TU mawe
Hakuna wa kukurushia mawe , we we pambana na hali yakoWanirushe TU mawe
Another attetion seekerTangazo la kimkakati tafadhali lipia
HUo n mtazamo wako tuuhUkiona mtu anawafundisha wengine biashara ujue hana kazi ya kufanya...
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.hakuna timu kataa ndoa, wote wana wake zao na waneufyata, wanawachora tu huku mtandaoni,,,, Au wale wa kujiita jobless, hakuna kitu kama hiko, kila mtu ako na harakati zake japo vipato havilingani,,,, ishi nayo
Na sisi ma jobless hakuto kuwa na mambo mengi, marehemu ali zaliwa, aka zurura, aka danja kwa kukosa mlo.wapo na wakike pia.
sababu ni nyingi sio hela tu.
ila kataa ndoa wa kweli atajulikana siku ya mazishi yake, pale ambapo risala yake haitotaja chochote kuhusu ndoa.