Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kwa dunia ya sasa bro kama umemuoa kikubwa anakupea na heshima anakupa maana hata nduguzo anaweza asiwaheshimu

Angalia nafasi yako mambo ya kufuatilia unaweza usioe kwa sana ndoa na mapenzi kwa sisi vidume hatuwezi kuoa au kutembea na demu hatuvutiwi nae kimaumbile ila wanawake wanaweza labda unazo pesa ila mchafu hapo atachuna pesa na ana kajama kabishoo ka pembeni
 
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili; Swala la ndoa ukilijadili ni kitu chenye wigo mpana sana, na anachokifanya huyo jamaa kwa aliye nje ya ndoa utaona kama anakosea lakini kwa upande mmoja au mwengine ni afadhali ya yeye aliyeoa, hayo mengine ni matokeo ya kawaida tu ndoani. Kwa upande mwengine wa imani yetu waislam tunasema ndoa ni nusu ya dini, kwani ibada na mambo mengine akiyafanya mtu asiye na ndoa malipo yake ni tofauti na akiyafanya aliyeoa.
Endelea kujipa moyo kwamba kuwa na pesa ni kila kitu maishani lakini ukweli utabaki pale pale furaha ya maishani ni kuwa na ndoa na kubarikiwa watoto wema.
 
Umeshaoa??
 
Kumroga mwanamke sio kutumia talasimu wala kwenda kwa waganga bali ni kujua namna ya kumzungushia mjegejeo!
 
Waaoooo...kumbe hujaolewa...!!!! Njoo nikuwowe ndoa ya mkataba lakini
Tunasaini mwezi mmoja mmoja
Sijachuja kiasi hicho,, jioe mwenyewe na jipe mkataba mwenyewe
 
Ukute unanikataa sababu ya Fake ID, ila ndo upo kwenye mahusiano na mimi na unatamani nikuoe
Helooooo, 😅😅😅nimeolewa halafu Mr wangu hajui kuandika kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…