Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wanaume wengi wanaopinga kuoa wanawake ni Kwamba wanataka waoe au waolewe na wanaume wenzao,
Mimi nilishakaa kwenye ndoa miaka kama yote na ikafa..mapito yake yalikuwa si ya kitoto......nawaelewa vijana wanavo ogopa kuingia mkenge wa kuoa.......Mi nawashauri vijana kama unajijua huwezi kuvumilia dharau,jeuri na viburi....kama una mkono mwepesi wa kupiga, kama hela yako ni tia maji tia maji huwezi kumnunulia hata iPhone tolea jipya au ikipotea, kama haupo tayari kwa mashindano na kubishana ndani ya nyumba, kama una wivu wa kufa mtu hasa ukioa corporate ladies, ....naomba ujitafakari sana kuingia kwenye hilo tanuru....unaweza ukapata kesi ya kuua au ukafa mwenyewe....
 
Unajipa moyo...yaani awe pisi kali halafu mabaharia wamuache tu? sema ndiyo hivyo tena umeshazidiwa
 
Bila akili mwanaume huwezi kudumu katika ndoa,, wewe mwenyewe Ni mfano wa Hilo,, jamani eeh sio wote wameandikiwa kuoa ila ukishindwa ishi na mke akili huna kafanye kazi nyingine
 
Bila akili mwanaume huwezi kudumu katika ndoa,, wewe mwenyewe Ni mfano wa Hilo,, jamani eeh sio wote wameandikiwa kuoa ila ukishindwa ishi na mke akili huna kafanye kazi nyingine
Akili ya namna gani hiyo? Fafanua....
 
Kuoa na kuolewa sio lazima, ko ni maamuzi ya mtu mwenyewe.
Kila dini na utaratibu wake! Kwa dini nyingine kuoa sio lazima unaweza kuwa na watoto bila kuoa. Lakini kwenye Uislam kuoa sio lazima lakini ni Sunna yenye nguvu.
 
Kwenye huu uzi wanawake wanatetea ndoa maana wanajua ndilo koti la kufunika upupu wao.
 
Bila akili mwanaume huwezi kudumu katika ndoa,, wewe mwenyewe Ni mfano wa Hilo,, jamani eeh sio wote wameandikiwa kuoa ila ukishindwa ishi na mke akili huna kafanye kazi nyingine
Kwa hiyo kwanza nilikuwa na akili ndiyo maana nikadumu kwenye ndoa miaka yote ile halafu baadaye akili ikaisha?
 
Word[emoji817][emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…