Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wanaume wengi wanaopinga kuoa wanawake ni Kwamba wanataka waoe au waolewe na wanaume wenzao,
Mimi nilishakaa kwenye ndoa miaka kama yote na ikafa..mapito yake yalikuwa si ya kitoto......nawaelewa vijana wanavo ogopa kuingia mkenge wa kuoa.......Mi nawashauri vijana kama unajijua huwezi kuvumilia dharau,jeuri na viburi....kama una mkono mwepesi wa kupiga, kama hela yako ni tia maji tia maji huwezi kumnunulia hata iPhone tolea jipya au ikipotea, kama haupo tayari kwa mashindano na kubishana ndani ya nyumba, kama una wivu wa kufa mtu hasa ukioa corporate ladies, ....naomba ujitafakari sana kuingia kwenye hilo tanuru....unaweza ukapata kesi ya kuua au ukafa mwenyewe....
 
Maisha ya ndoa hayafanani kama ambavyo maisha ya kawaida hayafanani.
Nimeoa 2016,katika maisha yangu sijawahi kujutia kuoa,Mungu alipa zawadi siyo tu mke yaani ni zawadi kabisa.

Mke wangu hana mambo mengi,siyo kwamba ni kwa sababu ni wa kawaida hapana ni pisi kali sana tu umbo maridhawa na sauti isiyochosha.
Mke wangu hajui kusema neno hapana kwake ni ndiyo na kuomba ruhusa kwa kila anachokifanya,kwake ni kutoa ushauri na kusubiri mume nitekeleze.

Mungu alinipa zawadi,mke wangu hataki kabisa kusikia jambo lolote la kusimuliwa kuhusu mume wake,yeye msimamo wake ni mmoja tu,anaangalia vile mume wake anavyoishi naye kwa amani na upendo,namna mume anavyotimiza majukumu yake.

Nimeshamfungulia kabiashara ili na yeye awe na cha kufanya,hatumii hata mia bila kupata kibali.

Aisee hata ndoa zote ulimwenguni zivunjwe ili tuoane upya nitaenda kumchumbia upya mke wangu.
Pamoja na changamoto zote za ndoa bado ndoa zenye amani na upendo zipo kabisa.
Unajipa moyo...yaani awe pisi kali halafu mabaharia wamuache tu? sema ndiyo hivyo tena umeshazidiwa
 
mimi nilishakaa kwenye ndoa miaka kama yote na ikafa..mapito yake yalikuwa si ya kitoto......nawaelewa vijana wanavo ogopa kuingia mkenge wa kuoa.......Mi nawashauri vijana kama unajijua huwezi kuvumilia dharau,jeuri na viburi....kama una mkono mwepesi wa kupiga, kama hela yako ni tia maji tia maji huwezi kumnunulia hata iPhone tolea jipya au ikipotea, kama haupo tayari kwa mashindano na kubishana ndani ya nyumba, kama una wivu wa kufa mtu hasa ukioa corporate ladies, ....naomba ujitafakari sana kuingia kwenye hilo tanuru....unaweza ukapata kesi ya kuua au ukafa mwenyewe....
Bila akili mwanaume huwezi kudumu katika ndoa,, wewe mwenyewe Ni mfano wa Hilo,, jamani eeh sio wote wameandikiwa kuoa ila ukishindwa ishi na mke akili huna kafanye kazi nyingine
 
Bila akili mwanaume huwezi kudumu katika ndoa,, wewe mwenyewe Ni mfano wa Hilo,, jamani eeh sio wote wameandikiwa kuoa ila ukishindwa ishi na mke akili huna kafanye kazi nyingine
Akili ya namna gani hiyo? Fafanua....
 
Kuoa na kuolewa sio lazima, ko ni maamuzi ya mtu mwenyewe.
Kila dini na utaratibu wake! Kwa dini nyingine kuoa sio lazima unaweza kuwa na watoto bila kuoa. Lakini kwenye Uislam kuoa sio lazima lakini ni Sunna yenye nguvu.
 
Kwenye huu uzi wanawake wanatetea ndoa maana wanajua ndilo koti la kufunika upupu wao.
 
Bila akili mwanaume huwezi kudumu katika ndoa,, wewe mwenyewe Ni mfano wa Hilo,, jamani eeh sio wote wameandikiwa kuoa ila ukishindwa ishi na mke akili huna kafanye kazi nyingine
Kwa hiyo kwanza nilikuwa na akili ndiyo maana nikadumu kwenye ndoa miaka yote ile halafu baadaye akili ikaisha?
 
Pole kwa yaliyokukuta mkuu. Ila tatizo ni kwamba huo ushauri hau-apply kwa kila mwanaume. Kuna watu wapo kwenye mahusiano/ndoa na wana-enjoy mno, mpaka wanajiuliza walichelewa wapi siku zote, kama changamoto ni zile ndogo ndogo tu za kibinadamu sababu hakuna mkamilifu. Ni kama kubet tu, huku mkeka wako umechanika kule watu wanajipigia tu muhindi. Sasa watu kama hao huwezi kuwashauri waache kubet eti kwa sababu wewe umeliwa
Word[emoji817][emoji817]
 
Back
Top Bottom