Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Ukiwa MWANAUME na si mtoto wa kiume,kuanzia huyo mwanamke na hilo dawati hakuna rangi wangeacha kuona, tatizo hujasimama kama MWANAUME.

Tembelea kanda ya ziwa tukufunze namna ya kuitwa MWANAUME
 
Acha ujinga ijue sheria vitu vya kugawana ni vile ambavyo hakukuta navyo namaanisha ulivipata uko nae na sio alivyo kukuta navyo
 
Kwani vipi mkuu, Mali mlichuma wote...?? Na huko dhehebu gani. .
 
Tunaomba mkasa mzima ili kuweka uzito juu ya hoja yako.
 
Ni bora kuishi na mbwa atakusaidia kushika hata wezi..binadam tuna roho mbaya zaidi ya hayawani!Ndoa ni zaid kifungo..
 
Mtoa mada acha kututisha, yaliyokukuta wewe si lazima yatukute sisi.
 
Mali hazinyang'anywi ustawi. Anzisha ugomvi wasikuzingue
 
Kama ndoa imekushinda ni wewe, usiwakatishe tamaa wengine wanaotaka kuingia huko.
 
Bila shaka ulioa mwanamke mwenye kikuku, tuviatu twa manyoya, na sim yenye cover yenye tumdoli [emoji1787]
 
Hii naifanyia lamination [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe nawe usiwafokee wenzako.
Kama huna hela ya kuoa usioe, waache wenzako waoe usiwapangie.
TAFUTA HELA

Kuoa muhimu sana. Ila usiwe boya. Usiruhusu mwanamke akutie mpaka masingi. Mungu ndio maana katupa sauti ya besi, muscles [emoji1491]. Kakileta ujinga kabane ukutani huku ukiaangalia usoni kaambie in the deepest of those male voices “Don’t dare me!” Tutafute hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…