G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Ukiwa MWANAUME na si mtoto wa kiume,kuanzia huyo mwanamke na hilo dawati hakuna rangi wangeacha kuona, tatizo hujasimama kama MWANAUME.Wakuu habarini za sasa ...
Nasisitiza vijana musioe wanawake bora mkaishi wenyewe miaka yote ...cha msingi tafuta pesa ...mtafute Mungu...tena na tena tafuta pesa ....
Yaliyonikuta baada ya kuoa najuta hapa nilipo nipo dawati la jinsia na nimenyang'anywa mali zangu zote nilizotafuta kwa jasho langu ...narudia tena vijana musioe
Tembelea kanda ya ziwa tukufunze namna ya kuitwa MWANAUME