Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Vijana uoga utatuua, sasa case ya huyo dada inahusiana vipi na watu wengine?
Sasa unaona asilimia kubwa ya wanawake humu wanaona hakuna noma kwa huyo mwanamke kugongwa nje! Hi picha ndogo ina reflect uhalisia halisi wa wanawake wetu...wanataka ndoa na bado wanataka kuchezea Kongamano la wayahudi huko nje.
 
mhm ulivyosisitza tusioe nilizan umegundua wanawake wana nyoka mkal kwenye papuchi tunaweza ng'atwa tukiwaoa, kumbe ni kuliwa na wengne , namimi nakusisitiza kama hauna hekima usioe kwel , endelea kuwagonga bila ndoa ndo hautachapiwa na masela wengne.
 
Huyo bodaboda siku mwambie akusimulie pia kuhusu wadada wastaarabu,wanaojielewa siyo huyo mmoja tu akubadilishie mtizamo wako. Don't generalize na kutoa conclusion

You can’t escape from your female nature— All women are the same.

Kama ilivyo wanaume wote ni sawa- the nature of men.

Na Watu wote ni sawa— Human nature

Kila kitu kinaoperate according to its nature not otherwise.
 
Back
Top Bottom