JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sioni Cha ajabu,yaani hutaoa kisa unawasiwasi mkeo atakuwa anachepuka anaenda kupigwa mgangaluma nje?Kwakweli vijana msioe, tafuta watoto ufanye mambo yako yatakupa furaha, kuoa ni kujivika mabomu makubwa sana na kujisogeza karibu na kifo, hata Wanasayansi wakubwa wenye akili timamu hawakuoa, if you want to achieve grater things tafuta mwanamke mwenye akili au usioe kabisa...
Pitapita zangu baada ya shughuli nimekaa na mwana mmoja tunapanga mipango bodaboda ikashuka imebeba mdada mida ya saa 12 jioni, nikamwambia boda akirudi anipitie...
Alivyorudi akanambia broo unajua nini? Nikamjibu sijui!!! Broo sidhani kama nitaoa nikamuuliza kwanini? akajibu unamuona huyu mdada nimeshuka nae? Nikamjibu ndio, akasema huyu binti amekuja sokoni kuemea Buhongwa hapo akapigiwa simu na hawara yake akaacha kapu la mboga kwa muuza mboga akadaka boda chap ili awahi kuchezea kongamano. Nikamuuliza amejuaje ni mke wa mtu? Akasema anamjua vizuri alafu kavaa na pete, then akamwambia boda baada ya d.k 15 atampigia amfate amchukue.....
Nikwamwambia boda wazo lako ni sahihi imagine hapo mwanamke anarudi home mkavuuu kabeba kapu la mboga kumbe katoka kuchezea "boloyang"
Kuoa ni kujivika mabomu kudadeki
Hata asingeenda nje,mke anaweza akapigiwa ndani ya gheto lako Tena mchana kweupe,na jirani,ndugu yako,
Je huyo utakae tafuta nae watoto harafu muachane kila mtu achukue hamsini zake,una uhakika gani watoto ni watakuwa wako?
Unaweza ukabambikiwa watoto wote hata kama ni watano,unaweza dhulumiwa nyumba,na ikaenda kwa anaye kupigia chombo chako,acha uoga jamaa,
Kama unaogopa kupigiwa,utaweza kupambana na mambo mazito ya kutafuta pesa,yaani kama demu wako akigongwa tu unachangsnyikiwa,mpaka unapata homa,vipi utaweza kucheza deal ya pesa ndefu kama bilioni,au ukosee uende jera?vijana acheni kuogopa vitu vidogo sana,maana yaani demu wako,anaenda kuliwa kakiungo kadogo wewe huku tumbo moto!!