Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Sioni Cha ajabu,yaani hutaoa kisa unawasiwasi mkeo atakuwa anachepuka anaenda kupigwa mgangaluma nje?
Hata asingeenda nje,mke anaweza akapigiwa ndani ya gheto lako Tena mchana kweupe,na jirani,ndugu yako,
Je huyo utakae tafuta nae watoto harafu muachane kila mtu achukue hamsini zake,una uhakika gani watoto ni watakuwa wako?
Unaweza ukabambikiwa watoto wote hata kama ni watano,unaweza dhulumiwa nyumba,na ikaenda kwa anaye kupigia chombo chako,acha uoga jamaa,
Kama unaogopa kupigiwa,utaweza kupambana na mambo mazito ya kutafuta pesa,yaani kama demu wako akigongwa tu unachangsnyikiwa,mpaka unapata homa,vipi utaweza kucheza deal ya pesa ndefu kama bilioni,au ukosee uende jera?vijana acheni kuogopa vitu vidogo sana,maana yaani demu wako,anaenda kuliwa kakiungo kadogo wewe huku tumbo moto!!
 
Ndo utajua kwanini uarabuni wanaume ndo wanaenda kuhemea vitu🙁
 
Shemela, kwani chanii kutujumlisha wotee..!!??
Shemeji wengi wenu mmekua ni wambea sana, au kwakua siku hizi hamzaliwi na hivi vikoromeo vilivojichonga shingoni? Zamani nlikua naona wanaume hapa shingoni kikoromeo kimetokeza sasa siku hizi shingo zenu zipo kama nyoka tu full umbea maneno yanawapita tu Shemeji
 
Wanaume tusioe jamani wanaume tusioe
 
Shemeji hebu kunywa mirinda usubiri kuhesabiwa, hizi ngonjera hazina ishu.....hao wanawake wanatiwa na kina nani kwani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…