Kuna tofauti ya kuishi na mwanamke na kufunga ndoa apa tunachokataa ni ndoa ya mavyeti na kusaini kisheria.Hawo wote wasiotaka ndoa Kuna walioaminishwa ni mbaya, waliotendewa na wanawake wasiotulia,wengine ni Malaya, wengine ni mashoga, wengine ni wanaona hela zikatumike ni haiwezekani
Mambo yame badilika sana sasa, ukiishi kizamani lazima mambo yakushinde. Kutokana na uzamani kwa sasa umepungua kwa kiwango kikubwa sana.
Bado hujaelewa mantinki ya Taikon ...usijibu kimhemkoMimi nadhani labda wanataka waolewe wao!!!
Eeh,maana kama mtu ulitokana na ndoa na umekulia kwenye familia ukiwaona wazazi wako pamoja mpaka wamezeeka kinachokufanya usiowe ni nini?
"Fikra zako zimehisi.." hizo ni hisia zako! Hatuishi kwa hisia.Kwa kufahamu hapana sijawahi kuona mtu ameolewa kwa sababu amekataa kuowa ila ni fikra zangu zimehisi hivyo.
KweliNa wanaoishi kizamani kwenye Ndoa ndio wanafanikiwa,
Ila Sisi tunataka kuleta usasa kwenye Ndoa ambayo ni mfumo wa kizamani zinatushinda.
Ndoa ni nzuri ikitumia mfumo wa kizamani lakini ni jehanamu ukileta usasa
Tatizo mnaopoa ma slay queens, wasomi sana, modern women n.k..[emoji1]...hamna sehemu rahisi kuoa kama bongo...Mimi nimejikita kwenye kuoa 'mama ntiliez'..raha sana, usiwe na wivu sana...unaweza ukajikuta kila mkoa una mke..hamna cha mkataba, pete za ndoa, sherehe, kwaito...
Ahsante kwa heshima hii kubwaNakuteua kwenye kinyang'anyiro cha Wenyeviti wa Vijana Kwa Mwaka 2023.
Unaweza ukawa na watoto ukawatunza wao na Mama yao bila ya ndoa za makaratasi na sheria.Africa haiwezekani na haifai kusema mtu hataki kuowa na kama hataki kuowa bora mara 1,000 asitake pia kuwa na mtoto kwa sababu hatuna mifumo stable kwa ajili ya kusaidia watoto wenye shida na wazazi.
Mfano kijana atakaposema hataki kuowa moja kwa moja ataiga uzungu wa kutaka kutafuta mwanamke amzalie watoto amlipe asiingiliane kwa namna yoyote na watoto sasa ikitokea huyu kijana hayupo hawa watoto watakaa ktk mazingira gani?ndugu wengi hatupendani sometimes unakuta ndugu wengine hata watoto wao kuwatunza hawawezi utegemee watoto wanaoranda randa mitaani hawataongezeka?
Na serikali zetu hizi za kiafrika hazina mifumo ya kutunza watoto wasiokuwa na wazazi hii si hatari sana maana wanaosema kuowa hawataki siyo matajiri useme wataacha mali za kuwasaidia watoto in case of anything ni maskini wengine watakufa hawana hata nguo ya pili si hawa watoto wataishia kwenye uchokoraa na wizi mtaani pamoja na ushoga kuongezeka!!!
Vijana acheni kuiga upumbavu wa wazungu siyo kila kitu ni cha kuiga ukitaka kuwa na kizazi bora kama ulivyo wewe ndoa huwezi kuikwepa.
Labda kama umekufa ila ukiwa bado unavuta hii pumzi ninayovuta mimi jua huwezi kuikwepa "hisia""Fikra zako zimehisi.." hizo ni hisia zako! Hatuishi kwa hisia.
Usigeneralize. Tuko malegend tulioolewa kimya kimya braza. Tulitoka kanisani, tukaenda restaurant opposite na mlimani. Nikiwa nimevaa gauni la 35k la kariakoo. Tukala sisi na wazazi wetu pande mbili na baadhi ya mashem, wifi na dada kwa upande wangu. No photoshoot, no mc, no champagne, no cake. Kibingwa..af fresh. Na tunadunda tu. Kiroho safi.
Mimi nadhani labda wanataka waolewe wao!!!
Eeh,maana kama mtu ulitokana na ndoa na umekulia kwenye familia ukiwaona wazazi wako pamoja mpaka wamezeeka kinachokufanya usiowe ni nini?
Unajifanya kuwahi kuoa mke anakuchapa stress unawahi kufa kabla hata ya 50 yearsAfrica haiwezekani na haifai kusema mtu hataki kuowa na kama hataki kuowa bora mara 1,000 asitake pia kuwa na mtoto kwa sababu hatuna mifumo stable kwa ajili ya kusaidia watoto wenye shida na wazazi.