Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

KUBALI NDOA

NDOA NI BARAKA

NDOA NI IBADA

NDOA STAREHE

ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO
Mkuu wapi wanapatikana hao wacha Mungu ndani ya mipaka ya nchi yetu?
Nielekeze mkuu nimpate walau mmoja.
 
Mimi nipo chama la wana wala bata, watafuta pesa pesa, kazi kazi, hakuna kulala, kuwekeza na kujiliwaza kwa kunyandua mbususu maisha yanaendelea.
 
hawa wanaokataa kuoa ukiwauliza wana nn cha maana utakuta hawana chochote wanachomiliki zaidi ya mageto yao na flat ya inch 32 anaona kamaliza, wakati watu tuna wake na tupo na kazi ya kununua maviwanja tu daily na kupanga mabiashara ya kuzidi kututoa, tatizo mnaolea nyege ukifikiria mke kazi yake ni kutombwer tu kwahiyo ukipata demu wa kumzagamua unaona ameshika nafasi ya Mke
 
Hao wanaoachana huku wakiwa Wana Mali kibao nao walioa kwa sababu ya nyege zao?
 
UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Kuna Uzi wenu wasabato kaokoe jahazi Kyle so Kwa vifungu hivi😂
 
KUBALI NDOA

NDOA NI BARAKA

NDOA NI IBADA

NDOA STAREHE

ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO

Kama mke wa masanja na katibu?
 
Mnaokataa ndoa endeleeni kupiga nyeto mwisho wa siku nanyi Mtatamani kuguswa huko nyuma kwenu.
Endeleeni tu mnachokipanda leo mtavuna siku sio nyingi.
 
Hello, kuiga ni kuzuri ila siyo kila kitu cha kuiga.
Wazungu wanayaweza hayo maisha maana kwao kuna nyumba za kutunza wazee,
sasa jichanganye,uendelee kuponda maisha,na mwenyezi Mungu akujalie ufike 80s
ndo utajua kama kuoa kuna faida au hasara.
Bahati mbaya utawapa mzigo mkubwa ndugu zako waliooa huku ukiwadharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…