Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
nihatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wapi wanapatikana hao wacha Mungu ndani ya mipaka ya nchi yetu?KUBALI NDOA
NDOA NI BARAKA
NDOA NI IBADA
NDOA STAREHE
ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO
Mimi nipo chama la wana wala bata, watafuta pesa pesa, kazi kazi, hakuna kulala, kuwekeza na kujiliwaza kwa kunyandua mbususu maisha yanaendelea.Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Kama hujui jinsi ya kumpata mchamungu usioeMkuu wapi wanapatikana hao wacha Mungu ndani ya mipaka ya nchi yetu?
Nielekeze mkuu nimpate walau mmoja.
Mkuu naomba kuelimishwa namna ya kumpata mcha Mungu.Kama hujui jinsi ya kumpata mchamungu usioe
Hao wanaoachana huku wakiwa Wana Mali kibao nao walioa kwa sababu ya nyege zao?hawa wanaokataa kuoa ukiwauliza wana nn cha maana utakuta hawana chochote wanachomiliki zaidi ya mageto yao na flat ya inch 32 anaona kamaliza, wakati watu tuna wake na tupo na kazi ya kununua maviwanja tu daily na kupanga mabiashara ya kuzidi kututoa, tatizo mnaolea nyege ukifikiria mke kazi yake ni kutombwer tu kwahiyo ukipata demu wa kumzagamua unaona ameshika nafasi ya Mke
Kuna Uzi wenu wasabato kaokoe jahazi Kyle so Kwa vifungu hivi😂UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Hao wanaoachana huku wakiwa Wana Mali kibao nao walioa kwa sababu ya nyege zao?
Wewe ndo uliyekurupuka kujibu hoja usiyoielewa vizuri.umekurupuka kujibu, soma kwa kutulia, hii
tabia ya kukurupuka ndo inatufelisha vijana
keyboard warriors
Wewe ndo uliyekurupuka kujibu hoja usiyoielewa vizuri.
njoo nikuoe mke wapili.achana navijana wahuni hao..Watu wa upinde
KUBALI NDOA
NDOA NI BARAKA
NDOA NI IBADA
NDOA STAREHE
ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO
Hello, kuiga ni kuzuri ila siyo kila kitu cha kuiga.Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu