Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 714
- 1,253
Tafuta mke mchamungu hata kama hana sura nzuri au takoMkiwa mnasema haya muwe mnatupa na mbinu za kuyatekeleza.
Tafuta mke mchamungu hata kama hana sura nzuri au tako
Ahsante Mama D. Popote ulipo agiza soda ntalipaTako kubwa na sura ya kuvutia bila Mungu na tabia njema ni sawa na sahani nzuri yenye kinyesi yaani m@vi ndani yake
Hahaha, hivi mnajua mnachekesha sana....nimesoma hii mada yako nikacheka na kujiuliza sanaNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Huyo ale matunda ya kazi yake sina huruma naeNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Sasa hilo fungu kwenye hii mada linafit vipi au ndo kila andiko lafaa kwa mafundisho?UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Naona mashoga mko kwenye uamshoNi yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Unavituko wewe, Au siasa zimekuchanganya? Ko hapo Mwaka Amekosa kipi au Masanja umemzidi kipi hapo?Kusema ukweli kama huna vitu hivi vitatu muhimu achana kuoa utakufa unalalamika.
1. Mwanaume kama huna akili za kutosha achana na ndoa
2. Mwanaume kama huna wakika wa kipato cha kuendeshea maisha na maendeleo achana na wanawake.
3. Kama huna emotional intelligence, ya kubance ndoa na mke acha kuoa.
Wenzako wanakataa ndoa ila tendo la ndoa wanalitakaSasa s ndo hvyo mama D mimi nimekataa ndoa na tendo la ndoa nalikataa pia, hvyo ndo paulo alimaanisha.
Ni mwalimu wa shule ya msingi au sekondari ?Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu
Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto
Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Hahaha atar sanaa mkuu subiri akupake zutuKwahiyo blaza umeamua kuja kunisema huku? Na unataka kunipaka wese!
Mpe shule mkuuMnajua nyie mnaoa mwanamke kwa kigezo cha sura na tako hapo ndipo mnapofeli.
FactHivi hizi Kampeni zinazoendeshwa za Wanaume kukataa Ndoa zina fadhiriwa na nani na kwa lengo gani?
Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?
Familia ndiyo Msingi wa Jamii bora, ndiyo msingi wa Serikali imara.
Nadhani badala ya kuhimizana kukataa Ndoa, ni vyema kuhimizana kupiga goti kwa Mungu kuomba akujalie kupata mke mwema. Wanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana.
Tukiacha haya mambo yakue na kuchipua kuna hatari ya kuwa na jamii ya hovyo sana huko mbele ya safari.
Ili mke awe mcha mungu lazima awe mbaya wa sura na umbo yani niache kula matoto mazuri zuri nikaishi na jana jike kma dume , sitaoa mwanamke kisa huruma eti ni mcha mungu , huko ni kutesa viumbe vya Mungu.KUBALI NDOA
NDOA NI BARAKA
NDOA NI IBADA
NDOA STAREHE
ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO
Kuoa mwanamke mbaya wa sura ni kma kuwa tu na shoga yani jana mke lina sura ya dume kisa ni mcha Mungu ndo uoe , ww utakua ata na udhubutu wa kuwa na kidume , si una uzoefu wa kuwa na janamke lenye sura ya baba yakeMnajua nyie mnaoa mwanamke kwa kigezo cha sura na tako hapo ndipo mnapofeli.
Machangu wamehamia uko uko kanisani unapopasemaUKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA
Mbona wengi walio na ndoa ndio hawana hvyo vyote mpka wake zao wanakuja kwetuKusema ukweli kama huna vitu hivi vitatu muhimu achana kuoa utakufa unalalamika.
1. Mwanaume kama huna akili za kutosha achana na ndoa
2. Mwanaume kama huna wakika wa kipato cha kuendeshea maisha na maendeleo achana na wanawake.
3. Kama huna emotional intelligence, ya kubance ndoa na mke acha kuoa.
Mkuu sina ndoa ila huu ulioongea apa ni ujinga wake za watu kibao wanakuja kukopa kwangu wa kuofa papuchi , mkuu walisheni wake zenu msipowalsha ssi tutawalisha na mimba tutawapa .hawa wanaokataa kuoa ukiwauliza wana nn cha maana utakuta hawana chochote wanachomiliki zaidi ya mageto yao na flat ya inch 32 anaona kamaliza, wakati watu tuna wake na tupo na kazi ya kununua maviwanja tu daily na kupanga mabiashara ya kuzidi kututoa, tatizo mnaolea nyege ukifikiria mke kazi yake ni kutombwer tu kwahiyo ukipata demu wa kumzagamua unaona ameshika nafasi ya Mke