Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

KATAAA NDOA KATAA NDOA KATAA NDOA KATAA NDOA KATAAA NDOA KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI NDOA NI UTAPELI NDOA NI UTAPELI TAFUTA PESA TAFUTA PESA SAIDIA WAZAZ WAKO KAMA WANAUITAJI KULA BATAA KULA BATAA ZAA HATA KATOTO KAMOJA KULA BATA KULA BATA PIGA KAZI ..USIKUBALI KUKAA NA MTOTO WA MTU NDANI(MKE) ATAKUUA😂😂
 
Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Hahaha, hivi mnajua mnachekesha sana....nimesoma hii mada yako nikacheka na kujiuliza sana

''Eti mnakosa hata hela ya kununua vitumbua barabarani mnawaza bajeti ya kusomesha''[emoji23]

Mkuu kwa hizi mada mnapotosha vijana wengi sana kuliko mnavyofikiri, haya maneno yanasambaa na yanaathiri vijana katika jamii zetu.
 
Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Huyo ale matunda ya kazi yake sina huruma nae
 
UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Sasa hilo fungu kwenye hii mada linafit vipi au ndo kila andiko lafaa kwa mafundisho?
 
Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Naona mashoga mko kwenye uamsho
 
Kusema ukweli kama huna vitu hivi vitatu muhimu achana kuoa utakufa unalalamika.
1. Mwanaume kama huna akili za kutosha achana na ndoa
2. Mwanaume kama huna wakika wa kipato cha kuendeshea maisha na maendeleo achana na wanawake.
3. Kama huna emotional intelligence, ya kubance ndoa na mke acha kuoa.
Unavituko wewe, Au siasa zimekuchanganya? Ko hapo Mwaka Amekosa kipi au Masanja umemzidi kipi hapo?
Wanawake ni Mapepo tu bhana huwez jua wanatokea wapi wanaenda wapi we utasikia tu Wanavuma.
 
Ni yule niliyemshauri mda mwingi tukiwa sehemu za starehe kitambaa cheupe tukipata K vant kubwa na Windhoek za Kopo baridi, mda mwingi tuliwaza pesa na kula bata ila mwenzangu akawa busy kukusanya pesa za Mahali. Nilikwambia hiyo million mbili bora twende kidimbwi tuagize kuku wa kuchoma na jack Daniel kubwa ila akasema mimi sio mtu mzuri namfudisha upumbavu

Vijana nawasihi mjipende wenyewe kwanza, hawa wanawake siku hizi wamekuwa tooo cheap Sasa unaowa ili iweje. Unaleta stress za ajabu tu nakujaza majukumu ndani ya Familia unakosa hata pesa ya kula kitumbua barabarani mda wote unawaza bajeti ya kula na kusomesha watoto

Sasa kwakumalizia jamaa kaja kwangu Jana usiku analia anaomba msaada mke wake kamtoroka alimtumia meseji akasema hawezi ishi na JITU ambalo halina pesa. Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea

Finally, jamaa yupo hapa kwangu mda huu Hana hata pakulala mke ameuza kila kitu kodi ya nyumba anadaiwa. Linakoroma tu sijui nilipake mafuta [emoji30][emoji31]🥱
Ni mwalimu wa shule ya msingi au sekondari ?
 
Hivi hizi Kampeni zinazoendeshwa za Wanaume kukataa Ndoa zina fadhiriwa na nani na kwa lengo gani?

Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?

Familia ndiyo Msingi wa Jamii bora, ndiyo msingi wa Serikali imara.

Nadhani badala ya kuhimizana kukataa Ndoa, ni vyema kuhimizana kupiga goti kwa Mungu kuomba akujalie kupata mke mwema. Wanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana.

Tukiacha haya mambo yakue na kuchipua kuna hatari ya kuwa na jamii ya hovyo sana huko mbele ya safari.
Fact
 
KUBALI NDOA

NDOA NI BARAKA

NDOA NI IBADA

NDOA STAREHE

ILA SHARTI LA NDOA UPATE MKE MCHAMUNGU NA MWENYE TABIA NZURI MWENYE WAZAZI WEMA. UKIOKOTA TU CHANGU NJIANI KISA ANA MATAKO MAKUBWA NDO SHIDA INAANZIA HAPO
Ili mke awe mcha mungu lazima awe mbaya wa sura na umbo yani niache kula matoto mazuri zuri nikaishi na jana jike kma dume , sitaoa mwanamke kisa huruma eti ni mcha mungu , huko ni kutesa viumbe vya Mungu.
 
Kusema ukweli kama huna vitu hivi vitatu muhimu achana kuoa utakufa unalalamika.
1. Mwanaume kama huna akili za kutosha achana na ndoa
2. Mwanaume kama huna wakika wa kipato cha kuendeshea maisha na maendeleo achana na wanawake.
3. Kama huna emotional intelligence, ya kubance ndoa na mke acha kuoa.
Mbona wengi walio na ndoa ndio hawana hvyo vyote mpka wake zao wanakuja kwetu
 
hawa wanaokataa kuoa ukiwauliza wana nn cha maana utakuta hawana chochote wanachomiliki zaidi ya mageto yao na flat ya inch 32 anaona kamaliza, wakati watu tuna wake na tupo na kazi ya kununua maviwanja tu daily na kupanga mabiashara ya kuzidi kututoa, tatizo mnaolea nyege ukifikiria mke kazi yake ni kutombwer tu kwahiyo ukipata demu wa kumzagamua unaona ameshika nafasi ya Mke
Mkuu sina ndoa ila huu ulioongea apa ni ujinga wake za watu kibao wanakuja kukopa kwangu wa kuofa papuchi , mkuu walisheni wake zenu msipowalsha ssi tutawalisha na mimba tutawapa .
 
Back
Top Bottom