Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wanaume walianza kukosa mapenzi ya kweli baada ya kugundua wanawake ni matapeli kwahio ngoma draw ila kimsingi ukipima utu baina ya wanaume na wanawake utagundua most men are kind hearted! Most women are greedy by nature 😂😂😂
 
"Bora niolewe tu, nimechoka kujihudumia, mara kodi na utilities nyingine bora niolewe nipumzike". Hapo ndio utajua kwa mwanamke ndoa ina maana gani.
Hili niliskia kwa maskio yangu mawili, siku moja niko sokoni kununua mahitaji flani nikawa nimekaa mahali nasubiria nifungashiwe mzigo wangu!
Kuna demu moja bonge flani lina hips likawa linamwambia shangazi yake ambaye ndio ananiuzia vitu,,,,

“Yani kwa kweli anti maisha magumu bora hata wewe unakaanga kuku mi naona niolewe tu maana kazi nazo zishakuwa shida mwenzangu, bora niolewe nihudumiwe tu”

Nikawaza huyu atakaeoa hili demu atakuwa kala hasara asilimia 100%
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haahahaha
Kwa hiyo sie makapuku tusioe sio?
Tunasubili hadi gawio kutoka kwa Mungy
 
Huu msemo ni very common kwa baadhi ya wanawake, wanajua wakishaolewa zigo lote atabebeshwa mume. Yeye atapumzika, ndio maana wanaume tunakufa mapema.

Ukipata mwanamke was hivi umekula hasara ya karne.
 
Ni gazeti ila nimejitahidi nimelimaliza . Ni kweli kabisa, hata tendo la ndoa ni wakati atakapojisikia, muda mwingi utasikia "nimechoka" kumbe kuna wanaomchosha huko nje. Wewe ni kanyaboya kwake, moyoni anajisemea anajuta kukutana na bogasi kama wewe. Na usipoangalia maisha yako ni mafupi, ili awe huru zaidi.
 
Huu msemo ni very common kwa baadhi ya wanawake, wanajua wakishaolewa zigo lote atabebeshwa mume. Yeye atapumzika, ndio maana wanaume tunakufa mapema.

Ukipata mwanamke was hivi umekula hasara ya karne.
Sasa unataka majukumu ya mwanaume afanye mwanamke ? Na ya mwanamke afanye nani?
 
Mkuu
Kwamba hawezi kubadilika😂😂😂
 
Mie hayanikuti sababu siwezi ruhusu upuuzi😅 wa kutembea na mwanamke maskini wa roho na akili!Hawa wanakuwaga pretenders sana.

A woman with a rich heart loves for real!
Hahahah ndomana nasema ngoja siku ujitele
Yakukute mzee ntacheka sana

Ova
 
Huu msemo ni very common kwa baadhi ya wanawake, wanajua wakishaolewa zigo lote atabebeshwa mume. Yeye atapumzika, ndio maana wanaume tunakufa mapema.

Ukipata mwanamke was hivi umekula hasara ya karne.
Tatizo watakataa.
 
Sio poa mkuu
 
Sema na we jamaa jifunze kufupisha.

Ndoa inamnufaisha zaidi mwanamke kuliko mwanaume. Kwa kifupi hakuna faida ya ndoa kwa mwanaume.
Mwanamke itampa unafuu wa maisha lakini mwanaume itamuongezea majukumu zaidi.
Ningeandika hivyo pekee ningekuwa nimedharau hii issue, Hii issue ni kubwa acha niiandike kwa ukubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…