Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kupika na kudeki si mlishagoma toka juzi napo au yale majukumu ya mume nayo😂Sasa unataka majukumu ya mwanaume afanye mwanamke ? Na ya mwanamke afanye nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupika na kudeki si mlishagoma toka juzi napo au yale majukumu ya mume nayo😂Sasa unataka majukumu ya mwanaume afanye mwanamke ? Na ya mwanamke afanye nani?
Hahahahah huwa type zangu ni hustlers wenzangu ama wenye paychecks! Huyo tukiingia penzini najua inakuwa for real ila sio hawa sedentary chicks.Hahahah ndomana nasema ngoja siku ujitele
Yakukute mzee ntacheka sana
Ova
Yani kama wewe umeshindwa kujihudumia mwili wako, unadhani yupo atakayeweza kukuhudumia? Weak mentality ndio zinasema "nataka kuolewa ili nipumzike"!Sasa unataka majukumu ya mwanaume afanye mwanamke ? Na ya mwanamke afanye nani?
HahahaHahahahah huwa type zangu ni hustlers wenzangu ama wenye paychecks! Huyo tukiingia penzini najua inakuwa for real ila sio hawa sedentary chicks.
Acha nikusaidie, kasema mke mwema anatokea Russia na sio Tanzania. 😅😂tusubiri wote
Kayatafute ukiyapata uje hapa.Mwanamke ana majukumu gani?
Mungu ni mwema naomba sana Mungu aniepushie haya mabalaaHahaha
Utajitela tu siku moja
Ova
Ooh wapi imeandikwa mwanamke kazi yake kupika na kudeki?Kupika na kudeki si mlishagoma toka juzi napo au yale majukumu ya mume nayo😂
Majukumu wanayo wale wanawasaidia waume zao kusaka mbungi we kama unafikiri kuzaa Ni jukumu unafeli sana maana hata Mbwa unakuta anazaa Ila jukumu lake Ni kulinda.Kayatafute ukiyapata uje hapa.
Kwahio hizo sio kazi za mwanamke kumbe?Ooh wapi imeandikwa mwanamke kazi yake kupika na kudeki?
Nimekuuliza unataka kusaidiwa majukumu yako na mwanamke wewe unaweza kumsaidia yake?Yani kama wewe umeshindwa kujihudumia mwili wako, unadhani yupo atakayeweza kukuhudumia? Weak mentality ndio zinasema "nataka kuolewa ili nipumzike"!
Kama huwezi kuhudumia familia yako unategemea mkeo wewe sio Mwanaume.Majukumu wanayo wale wanawasaidia waume zao kusaka mbungi we kama unafikiri kuzaa Ni jukumu unafeli sana maana hata Mbwa unakuta anazaa Ila jukumu lake Ni kulinda.
Kasome maandiko utapa jibu.Kwahio hizo sio kazi za mwanamke kumbe?
Hoja yangu umeielewa au umerukia tu mkuu? Nasemea mtu ambaye ameshindwa hata kuhudumia mwili wake, anatafuta relief kwa kuingia kwenye ndoa. Yaani huwezi kuhudumia mwili wako tu unaomba Mungu apatikane wa kukuhudumia ili wewe upumzike. Ukiingia mwenye ndoa na mentality ya namna hiyo huna faida yoyote.Nimekuuliza unataka kusaidiwa majukumu yako na mwanamke wewe unaweza kumsaidia yake?
Sijaandika mwanaume amtegemee mwanamke acha kutumia hard feelings zinafanya utoke kwenye reli issue ni kama ninyi mmeamua kugeuza mapenzi kuwa pesa basi saidieni wenzenu kuzitafuta maana penzi halijengwi na mmoja. Yaani unapenda pesa alafu hujui kuzitafuta we una akili timamu kweli? Yaani unataka uletewe tu uzitumie? Huoni Kuna mmoja anakandamizwa hapo?Kama huwezi kuhudumia familia yako unategemea mkeo wewe sio Mwanaume.
Kwahio wanaume wenye akili waoe punguani?
HahahaMungu ni mwema naomba sana Mungu aniepushie haya mabalaa
Mwanamke kupenda pesa ya mumewe hilo haliepukiki so hata akiwa na zake lazima atumie zako.hapo pakuletewa na kutumia kama unaona anafaidi na we we kuwa mwanamke usikandamizwe.ndomama kizazi cha sasa kimejaa mashoga kisa kukwepa majukumu.Sijaandika mwanaume amtegemee mwanamke acha kutumia hard feelings zinafanya utoke kwenye reli issue ni kama ninyi mmeamua kugeuza mapenzi kuwa pesa basi saidieni wenzenu kuzitafuta maana penzi halijengwi na mmoja. Yaani unapenda pesa alafu hujui kuzitafuta we una akili timamu kweli? Yaani unataka uletewe tu uzitumie? Huoni Kuna mmoja anakandamizwa hapo?
Unataka akusaidie nini mfano?Hoja yangu umeielewa au umerukia tu mkuu? Nasemea mtu ambaye ameshindwa hata kuhudumia mwili wake, anatafuta relief kwa kuingia kwenye ndoa. Yaani huwezi kuhudumia mwili wako tu unaomba Mungu apatikane wa kukuhudumia ili wewe upumzike. Ukiingia mwenye ndoa na mentality ya namna hiyo huna faida yoyote.
Ndoa ni kusaidiana, mume afanye majukumu yake na mke afanye yake, sio mmoja aingie ile apumzike.